Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Mimi nashangaa mtu akiwa na uraibu, vishawishi na kujaribu vitu tumepitia Sana lakini kamwe Sikuwahi kuwa mraibu...Inahitaji uwe timamu Sana ili usiwe mraibu, kumbuka uraibu sio madawa Tu hata ngono na simu vinaweza kuleta uraibu.
 
Hey people good morning,

Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii

Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima
Nimeamua kuacha tabia ya kuwa mnyonge kwa wanaonizunguka huku duniani
Na mengine mengi yanayoenda kunijenga

Uzi huu uwe kumbukumbu na ukumbusho wa ahadi hizi, ili tuweze kujipima kila siku na kuona maendeleo yetu

Let's do this together.
VIzuri Joanah unafaa kabisa kuwa Mama wa Wananngu ninvyosoma huu mwadiko wako mzuri naona kabisa Mayai ya wnanangu kwenye Ovaries zako zote
 
1000008446.jpg
 
Back
Top Bottom