Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,594
- 55,177
Nimetimiza wiki baada ya kuachana na lishankupe nililodumu nalo miaka inaenda miwili ingefika mwezi wa 9 mwaka huu
Pengo kwa maana ya kwamba tobo au?????Naacha pengo...
Kuwa na uraibu sio jambo la kushangaza kama umetembea na kukutana na watu tofauti tofautiMimi nashangaa mtu akiwa na uraibu, vishawishi na kujaribu vitu tumepitia Sana lakini kamwe Sikuwahi kuwa mraibu...Inahitaji uwe timamu Sana ili usiwe mraibu, kumbuka uraibu sio madawa Tu hata ngono na simu vinaweza kuleta uraibu.
Safi sana... Namna hiyo... Nyoshaneni kidogo...Mapema tu nimeanza siishi kinyonge
Kwangu Mimi uraibu ni Jambo la kushangaza Sana, nimetembea Sana duniani na kukutana vingi but Sikuwahi kuwa mraibu, mraibu yoyote Yule Nafikiri ana Tatizo la akili, hivyo lazima asaidiwe Kwa namna yyte Ile kama akitaka.Kuwa na uraibu sio jambo la kushangaza kama umetembea na kukutana na watu tofauti tofauti
Ukishakuwa uraibu haujalishi ni wa nini kwa hiyo hapo ulipoandika KUMBUKA hakukuwa na ulazima
Hongera sana kwa kuacha bangi.Hey people good morning,
Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii
Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima
Nimeamua kuacha tabia ya kuwa mnyonge kwa wanaonizunguka huku duniani
Na mengine mengi yanayoenda kunijenga
Uzi huu uwe kumbukumbu na ukumbusho wa ahadi hizi, ili tuweze kujipima kila siku na kuona maendeleo yetu
Let's do this together.
Hongera iwe kubwaPole/hongera?
Wala sifikirii kuacha kufuatilia makebo hadi pale nitakapoingia kwa kaburi.secretarybird ndio muda wa kubadilika sasa mambo ya kufuatilia makebo uachane nayo
Hili tutaliangalia 😎.Naona hii ndio maana rasmi ipitishe kwenye dictionary , kuita kila Nyama iliyotuna ni Makebo ni kulikosea jina , makebo lazima yawe na sifa maalamu..
Hii maana aipitishe mjumbe secretarybird
Na hamna upungufu wowote unao usikia?Nina mwezi+ sijagusa
Am so proud of myself
How do you feelNina mwezi+ sijagusa
Am so proud of myself