Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Nimefikisha wiki mbili sijatafuna big g, naimani nitaacha kabisa, ni tabia nisiyoipenda ilianza kama mzaha nikaja kua mraibu wa kutafuna big g tena natafuna ile kama kipanya kwa sauti halafu napuliza puto nafurahi likibust, nilivyoona mtoto wangu na yeye ameanza kuzipenda anazililia nimeweka nadhiri niache kabisa,
Sio rahisi tho, najihisi upungufu sehemu

Ni kweli kuna utofauti ukiacha jambo ulilozoea,kama kitu kimemiss
But you can do it Dr. Mariposa
 
Nimefikisha wiki mbili sijatafuna big g, naimani nitaacha kabisa, ni tabia nisiyoipenda ilianza kama mzaha nikaja kua mraibu wa kutafuna big g tena natafuna ile kama kipanya kwa sauti halafu napuliza puto nafurahi likibust, nilivyoona mtoto wangu na yeye ameanza kuzipenda anazililia nimeweka nadhiri niache kabisa,
Sio rahisi tho, najihisi upungufu sehemu
Hii kitu siwezi wacha, naomba niwe mkweli...labda nije niwe kibogoyo 😂😂😂
Chocolate somehow nimeweza, ila bazoka aisee, Ferguson aje ajifunze kwangu 😂😂😂
 
Kula bangi binti acha zako!
Binafsi situmii pombe, sigala, ugolo Wala bangi.
Na sioni kama nitakuja kutumia, sioni kama Kuna kitu kimepungua kwangu.

Ila nikiwa ndani na mwanamke halafu awe anakunywa pombe Huwa najisikia vizuri zaidi, sijui hi ikoje.
Yaani tuwe ndani mtoto ale bia huku nambembeleza, ni kama roho yangu inasuuzika. Sijui hii ikoje kitaalamu.
 
Hauko sawa wewe😂
 
Back
Top Bottom