Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
26,413
Reaction score
97,283
Hey people good morning,

Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii

Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima
Nimeamua kuacha tabia ya kuwa mnyonge kwa wanaonizunguka huku duniani
Na mengine mengi yanayoenda kunijenga

Uzi huu uwe kumbukumbu na ukumbusho wa ahadi hizi, ili tuweze kujipima kila siku na kuona maendeleo yetu

Let's do this together.
 
Back
Top Bottom