Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Kula bangi binti acha zako!
Binafsi situmii pombe, sigala, ugolo Wala bangi.
Na sioni kama nitakuja kutumia, sioni kama Kuna kitu kimepungua kwangu.

Ila nikiwa ndani na mwanamke halafu awe anakunywa pombe Huwa najisikia vizuri zaidi, sijui hi ikoje.
Yaani tuwe ndani mtoto ale bia huku nambembeleza, ni kama roho yangu inasuuzika. Sijui hii ikoje kitaalamu.
mkuu inaonekana unapenda mwanamke mwenye macho ya kurembua?
 
Macho ya kusinzia 🤣
Hapana mkuu yaani Kuna namna mwanamke akiwa amekunywa pombe kidogo Huwa naona kama ananivutia zaidi chumbani, anywe bia kadhaa au wine.
 
Kula bangi binti acha zako!
Binafsi situmii pombe, sigala, ugolo Wala bangi.
Na sioni kama nitakuja kutumia, sioni kama Kuna kitu kimepungua kwangu.

Ila nikiwa ndani na mwanamke halafu awe anakunywa pombe Huwa najisikia vizuri zaidi, sijui hi ikoje.
Yaani tuwe ndani mtoto ale bia huku nambembeleza, ni kama roho yangu inasuuzika. Sijui hii ikoje kitaalamu.
Huko sirudi tena
 
Back
Top Bottom