Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

📌📌📌
Hakuna binadamu asiyeweza kufanya mabadiliko kama nia ya dhati ipo

Red black
Zipo njia nyingi sana Moja wapo mtu kujiKeep busy , kuepuka sehemu na watu wenye ushawishi mbovu , kuhamia kwenye starehe nyingine au chochote unachopenda ambacho hakina madhara , kufanya Ibada sana nk

Mimi nilikuwa porn addicted , nikaandika kwenye notebook kwamba rasmi naahana na hayo mambo nikahamishia nguvu kwenye vitu ninavyopenda vingine kama vile games , movies nk hatimaye nineshinda uraibu miaka kibao nimetoboa bila kunihusisha tena .
 
Mkuu nakutakia mafanikio mema kwenye safari yako ya kuacha hiyo kitu, inawezekana vizuri kabisa, tena nirahisi zaidi kama umedhamiria mwenyewe kutoka moyoni na Mungu akiwa upande wako yote yanawezekana.

NB: Mwaka wa 12 Huu sijavuta hizo mambo na nilikua addicted vibaya mno.

Recovery Journey inaanza na Sekunde, dakika, Masaa, miezi, Miaka mpaka kifo.

Kaza sana, sali sana arosto inauma ila jikaze week moja ya kwanza usishangae kukosa usingizi hata siku 3 usiogope 72hrs zikipita utaanza kujihisi uko sawa komaa komaaa komaaa.

Addiction is a Disease!. #wedorecover
 
Hey people good morning,

Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii

Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima
Nimeamua kuacha tabia ya kuwa mnyonge kwa wanaonizunguka huku duniani
Na mengine mengi yanayoenda kunijenga

Uzi huu uwe kumbukumbu na ukumbusho wa ahadi hizi, ili tuweze kujipima kila siku na kuona maendeleo yetu

Let's do this together.
Rooting for you mamie, kila la kheri 🤞🏽💪🏽
 
Nakuunga mkono,
Hata mie niliweza kuacha pombe....nilikuwa mlevi wa mataputapu yooote yanayopatikana Tanzania,,,,,,,
 
Mkuu nakutakia mafanikio mema kwenye safari yako ya kuacha hiyo kitu, inawezekana vizuri kabisa, tena nirahisi zaidi kama umadhamiria mwenyewe kutoka moyoni na Mungu akiwa upande wako yote yanawezekana.

NB: Mwaka wa 12 Huu sijavuta hizo mambo na nilikua addicted vibaya mno.

Recovery Journey inaanza na Sekunde, dakika, Masaa, miezi, Miaka mpaka kifo.

Kaza sana, sali sana arosto inauma ila jikaze week moja ya kwanza usishangae kukosa usingizi hata siku 3 usiogope 72hrs zikipita utaanza kujihisi uko sawa komaa komaaa komaaa.

Addiction is a Disease!. #wedorecover

For real asee
Nimeamka leo nawaza hiyo kitu nikajisemea the way sipendi kuamuliwa mambo,how comes hiyo kitu inaniamulia na kuingilia mwili wangu?
Nimeamua kuacha,naamini nitaweza

#wedorecover ✋
 
Back
Top Bottom