naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 2,023
- 4,664
Ni kweli muda ni muamuzi mzuri sana na ukifika unabaki unajishangaa hivi ilikuaje 😃Muda wako bado wa mabadiliko
Ni kweli muda ni muamuzi mzuri sana na ukifika unabaki unajishangaa hivi ilikuaje 😃Muda wako bado wa mabadiliko
Uniambie mimi leo eti niache kupenda wanawake wenye makalio makubwa? thubutu, siwezi kuvunja mifupa ingawa meno bado ipo ila vipi na kubet mikeka umeacha au unajipajipa muda kwanza?Nitakuja na mrejesho wa ukweli kila mwezi
Bangi iliyoongezwa vitu vingine sio bangi kavukavuSkanka ni kitu gani kwani?
The Icebreaker kashakujibuSkanka ni kitu gani kwani?
Mkuu itabidi leo uvute sigara moja ili kujipoongeza kwa kuacha sigara toka 2003Baada ya kuwa addicted na uvutaji wa sigara kwa miaka mingi sana hatimaye mwaka 2003 niliamua kuacha rasmi uvutaji wa sigara na nimefanikiwa kutovuta tangu wakati huo hadi leo hii.
Unywaji wa pombe uliokithiri niliacha mwaka 2017 baada ya kuugua nusu ya kufa ,nikashauriwa na daktari niachane na ulevi hasa wa pombe kali, nilijitafakari sana hatimaye nikaachana na aina zote za pombe na nimesimamia msimamo wangu tangu wakati huo hadi sasa.
Simamia msimamo wako unaweza, ingawa mwanzoni mwanzoni ni ngumu sana lakini ukikaa mbali na mazingira yanayoweza kukushawishi kufanya hilo ulilokusudia kuacha hakuna ugumu wowote. Kila la kheri
Baada ya kuwa addicted na uvutaji wa sigara kwa miaka mingi sana hatimaye mwaka 2003 niliamua kuacha rasmi uvutaji wa sigara na nimefanikiwa kutovuta tangu wakati huo hadi leo hii.
Unywaji wa pombe uliokithiri niliacha mwaka 2017 baada ya kuugua nusu ya kufa ,nikashauriwa na daktari niachane na ulevi hasa wa pombe kali, nilijitafakari sana hatimaye nikaachana na aina zote za pombe na nimesimamia msimamo wangu tangu wakati huo hadi sasa.
Simamia msimamo wako unaweza, ingawa mwanzoni mwanzoni ni ngumu sana lakini ukikaa mbali na mazingira yanayoweza kukushawishi kufanya hilo ulilokusudia kuacha hakuna ugumu wowote. Kila la kheri
Shika amri kumi za Mungu and automatically utakuwa umejitoa kwenye mfumo wa matakataka mengine yote.Hey people good morning,
Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii
Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima
Nimeamua kuacha tabia ya kuwa mnyonge kwa wanaonizunguka huku duniani
Na mengine mengi yanayoenda kunijenga
Uzi huu uwe kumbukumbu na ukumbusho wa ahadi hizi, ili tuweze kujipima kila siku na kuona maendeleo yetu
Let's do this together.
Sina arosto ya hiyo kitu, hata nikiona mtu anavuta hainipi tamaa yytMkuu itabidi leo uvute sigara moja ili kujipoongeza kwa kuacha sigara toka 2003
Uniambie mimi leo eti niache kupenda wanawake wenye makalio makubwa? thubutu, siwezi kuvunja mifupa ingawa meno bado ipo ila vipi na kubet mikeka umeacha au unajipajipa muda kwanza?
Naona hii ndio maana rasmi ipitishe kwenye dictionary , kuita kila Nyama iliyotuna ni Makebo ni kulikosea jina , makebo lazima yawe na sifa maalamu..Nyamanyama nyingi kwenye maeneo ya makalio yaliyotunatuna na yanayobonyezeka km kigodoro laini au unga wa ngano uliokandwa vizuri baada ya kutiwa hamira sio magumu km tofali za zege, na hayo ndio Makebo nadhani na wewe utakua unayo pasinashaka au huna?