Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Fine kijana bilionea nimekuja watoto wazuri mko wapi niwafanye mjisikie heaven
 
Mi ni mtoto wa mkulima ila last sunday nimeshinda Tatu mzuka milioni 75, yaani hapa zinaniwasha natafuta mtu anayejua kuzivuja kabla washauri wenye mawazo chanya hawajanichanganya
Nipo hapa nakuja nikusaidie matumizi
 
Mabilionea wawe Jf kwaajili ya kutafuta wanawake kweli nadhan umekosea hao mabilionea wanawaza namna ya kuongezea mihela yao huku hutawapata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom