Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Hebu Weka walau kimoja tuu
Vigezo cha kwanza aweze kukukatia tiketi ya ndege kumfata aliko na advance juu akupe,awe na uwezo wa kununua iphone x ikitoka tu akukabidhi tu
Ukimpa tu kimoja milioni 2 isiwe shida kukupa,,
kuka range iwe kama kakupa vitz
 
usihofu nitajitokeza baadaye kidogo saizi niko London kuangalia projects zinaendeleaje, nikitoka huku napitia Canada kuona my privete jet Gulfstream G650 inaendeaje maana ilipata hitilafu kidogo, then ndio nije Africa kumuona mr.Dangote nasikia ana matatizo kidogo ya kiuwekezaji Tz, pamoja na kumpatia kiasi kidogo kama Tsh. 2billions brother Manji akalipe deni la kodi TRA ila waache kumsumbua.
Baada ya hapo nitakushtua tuonane
[emoji484][emoji483][emoji484][emoji483][emoji484]
Sawa karibu bilionea
 
Vigezo cha kwanza aweze kukukatia tiketi ya ndege kumfata aliko na advance juu akupe,awe na uwezo wa kununua iphone x ikitoka tu akukabidhi tu
Ukimpa tu kimoja milioni 2 isiwe shida kukupa,,
kuka range iwe kama kakupa vitz
Mmmmh

Mie anipe tu mbinu ya kufanikiwa!!! Hayo mengine hayatekelezeki
 
maisha yamekuwa magumu sasa unatafuta matajiri humu
Chawa kama nyinyi ndio mnafanya mabosi kujifungia ndani utawala huu wa magu
 
Nisome mara ngapi sasa mkuu,sisi mabilionea hatunaga muda wa kusomasoma Sana, hapa navyokujibu tu kwa dakika napoteza milioni nyingi sana, hebu rahisisha mjadala basi
Nataka unipeleke ibiza tukale raha
 
Mabilionea wa manyokanyoka wanaovaa Neala name kupishanisha vifungo vya shati hatuwataki hapa
 
Mi ni mtoto wa mkulima ila last sunday nimeshinda Tatu mzuka milioni 75, yaani hapa zinaniwasha natafuta mtu anayejua kuzivuja kabla washauri wenye mawazo chanya hawajanichanganya
 
Kwa TZ ya v-wonder billionaire mmoja tuuu~Mohamedy Dewji.... Sasa nadhani unamlenga yy asiye.

Uache ubinafsi cc wengne tutakupataje?

I owe Negative $999millions [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom