Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

Uzi wa Mabilionea wa JF, jitokezeni!

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] on my way to kapukuz..
 
Hivi mabilionea wa jf mpo wapi hebu jitokezeni mnyakue totozi kali,,tumechoka maskini tunataka tuonje ladha ya mabilionea ipoje
Maana huwa tunaona tu humu kila mwanaime ana pesa,ana gari,msomi,ana kazi nzuri,ana biashara nzuri ana nyumba kali?
Jitokezeni hadharani tuwaheshimu sie hatujali hata pesa zimetokana na ujambazi ,ufisadi pesa tamu haijalish imetoka wapi
Huu uzi uwe special kwa mabilionea ambao hawana mawazo ya pesa ndogo ndogo,,makapuku muende makapuku forum kulee
Maisha ndio haya haya ,wadada wa jf wamechoka kupata makapuku wanataka pelekwa visiwa vya ibiza ,,
Wadada wa jf mje hapa mchague mabilionea mtaniuliza ni vigezo gani gani ili ujue huyu hana pesa za mawazo,,tupo hapa kupata raha maisha mafupi
Pia mtupe mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni zamu yetu
Mtakaojileta eti ooh mapenzi ya kweli sijui nin na nini mapenzi yakweli tushayafanya sana tu mpaka tumechoka,

Ni mim mwenyekiti Mama Sabrina
Katibu wangu ni miss chagga
Haya karibuni wenye jeuri zenu
Flat Screen hata bure sitakii!
 
Tumechoka kukunwa vizuri bila mapesa

sasa wanaume tuelewe lipi..!!?
Mana hata kama mnapewa maisha mazr na huduma zote ila kama hukunwi vizur mnalalamika.

Ww unakuja na yako unasema hutaki kukunwa vizuri bila ya mapesa.

tushike lipi sasa.!?
mana si rahisi kuwa na vyote kwa pa1
 
sasa wanaume tuelewe lipi..!!?
Mana hata kama mnapewa maisha mazr na huduma zote ila kama hukunwi vizur mnalalamika.

Ww unakuja na yako unasema hutaki kukunwa vizuri bila ya mapesa.

tushike lipi sasa.!?
mana si rahisi kuwa na vyote kwa pa1
Mim kukunwa vizuri nishatosheka bana
 
We mchepuko wangu ni changamoto... Umeituma kwangu kweeli au kuna ka mchepuko kengine tena!!!!

Chombo chako hiki mama...
cF2SwNgPZGRXqPf1W2YtEIzepjjh_UmxExe5sa7VK62LDYlnQWk1ET8k0I-DjnWFQYg=h900
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom