Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #41
Ayaaa naomba niwe wa pili kukufahamuNajitokeza wa kwanza!Billionaire ninaefahamika na MTU mmoja tu hapa JF!
Ayaaa naomba niwe wa pili kukufahamuNajitokeza wa kwanza!Billionaire ninaefahamika na MTU mmoja tu hapa JF!
Bahati mbaya hujawa,,,[emoji23][emoji23][emoji23]Hata nikija kuwa bilionea sitoweza kuwa na mahusiano na single mother kama wewe..btw sabrina mzima?
Asa hapa umeijia nini[emoji23][emoji23]Hela tu ya bando sina sembuse kuwahonga nyie..:.
Sasa bilionea hapo we ni yupi nianze kuchagua kabisaaView attachment 607602 Baadaye tukianza kubadirisha visura mnaanza wivu tena wakati unajua hata wewe umenipendea pesa.Kugandana sitaki njoo upate mshiko upotee.WIVU, KUGANDANA na KUBAMKIANA WATOTO SITAKI.Njoo tuvute raha na tule mapene warembo
View attachment 607601 View attachment 607604 View attachment 607605
Nipo nje kwa mambo ya kibiashara,nikirejea Tz nitapenda tuonane "Live" tuyajengeAyaaa naomba niwe wa pili kukufahamu
Huna za mawazo tuyajenge?Tunazidi kuona mengi awamu hii,
Ila mimi ngoja nijiweke tu kwa Mama Sabrina , [emoji3][emoji41]
Huu uzi leo utaniuaDuuuh pesa ina marafiki wengi kuliko sisi tunao itafuta
OhooTatizo anaitwa "mama sabrina"
Hapo kesha kosa soko
Hey haya ndio maneno sasaNipo nje kwa mambo ya kibiashara,nikirejea Tz nitapenda tuonane "Live" tuyajenge
Dhu haya wanakuja na nyie warembo njoo tuwaone kwanza kama qualifications za kutoka na mabilionea sio sura ka lichapati unataka bilionea kama unataka mume mwenye gar kuwa nayo kwanza ww
Haina haja ya kujitangaza ila pesa zipo [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe sio bilionea?
Pambana unaweza kutimiza malengo yakuwa na pedesheeHuu uzi leo utaniua
Heheheh jose nawe hutaki kupitwa na warembo eeHaina haja ya kujitangaza ila pesa zipo [emoji23][emoji23][emoji23]
he he he nichague kabisa ni kula raha tuSasa bilionea hapo we ni yupi nianze kuchagua kabisaa
Ni kula raha tu ukinogewa jilambe
Hapo we ni yupi sasa bilionea wa jfhe he he nichague kabisa ni kula raha tu
Soma uziNipo hapa, ulikuwa unataka nikusaidiaje kwa mfano??