Anselem mathew
Senior Member
- May 17, 2017
- 107
- 66
Dhu haya wanakuja na nyie warembo njoo tuwaone kwanza kama qualifications za kutoka na mabilionea sio sura ka lichapati unataka bilionea kama unataka mume mwenye gar kuwa nayo kwanza ww
Bora hata wewe utakalibia kwenye bilioniMimi nina tumilioni kadhaa plus projects....sijafika kwenye billion unazotaka ww [emoji23]
Sina za mawazo asee...ujanja ni ku investBora hata wewe utakalibia kwenye bilioni
Kwa hiyo za mawazo huna si ndio?
Yes wakaribie tena hao ndio tunawataka haswaahii inawahusu hata trillion ares??
Basi tutachekiana nione kama una vigezo kweliSina za mawazo asee...ujanja ni ku invest
Yes wakaribie tena hao ndio tunawataka haswaa
Ten tungewaita babyyNyani wangekuwa na pesa kuna wadada wangekuwa wanaishi porini.
Weweee acha mimi bado mbichiiTatizo anaitwa "mama sabrina"
Hapo kesha kosa soko
We bilionea?sure! hii kwa ajili yetu
nipo hapa bibie ebu njoo inbox tukayajengeMkuje huku jamani... Wale mnaomiliki meli
Eheheh wee kuolewa kwa maskin umejitakia mwenyeweDhu haya wanakuja na nyie warembo njoo tuwaone kwanza kama qualifications za kutoka na mabilionea sio sura ka lichapati unataka bilionea kama unataka mume mwenye gar kuwa nayo kwanza ww