Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #241
Weee tukomee,,hamna pesa tuHuku hamna totoz bali used zilizopigwa maji na macream kibao.
Eneo hili halihitaji uzoefu.

Yaan we upewe vyote hivyo na wewe unatoa nini[emoji23]Hivi mabilionea wa jf mpo wapi hebu jitokezeni mnyakue totozi kali,,tumechoka maskini tunataka tuonje ladha ya mabilionea ipoje
Maana huwa tunaona tu humu kila mwanaime ana pesa,ana gari,msomi,ana kazi nzuri,ana biashara nzuri ana nyumba kali?
Jitokezeni hadharani tuwaheshimu sie hatujali hata pesa zimetokana na ujambazi ,ufisadi pesa tamu haijalish imetoka wapi
Huu uzi uwe special kwa mabilionea ambao hawana mawazo ya pesa ndogo ndogo,,makapuku muende makapuku forum kulee
Maisha ndio haya haya ,wadada wa jf wamechoka kupata makapuku wanataka pelekwa visiwa vya ibiza ,,
Wadada wa jf mje hapa mchague mabilionea mtaniuliza ni vigezo gani gani ili ujue huyu hana pesa za mawazo,,tupo hapa kupata raha maisha mafupi
Pia mtupe mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ni zamu yetu
Mtakaojileta eti ooh mapenzi ya kweli sijui nin na nini mapenzi yakweli tushayafanya sana tu mpaka tumechoka,
Ni mim mwenyekiti Mama Sabrina
Katibu wangu ni miss chagga
Haya karibuni wenye jeuri zenu

Yaan weee una pesa kwelii?Yaan we upewe vyote hivyo na wewe unatoa nini[emoji23]
Ni hiyo papuchi tu hamna kingine?
We si unataka bilionaire ?Yaan weee una pesa kwelii?
Mkuje huku jamani... Wale mnaomiliki meli
Mabilionea wengi hawaijui JF.
Huwezi wapata huku..
Wanapatikana wapi tuwafuate,tugeie location
Daaahhh
Jilipueni bana, mjini bila pesa sio poa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na wewe njaa tu
Pipi na karanga???Hapana twende mkusalmia mjomba Ikulu tutarudi na zawadi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] so Madam tunauziana?Maneno ya makapuku haya[emoji3] [emoji3] [emoji3]
poa dogoToo late son.