Mzee kale ka mlio ka muamala kwenye simu kwamba mishahara umeingia tu aisee kichwani ni mvurugano mkubwa!!Me kabla sijapata pesa nakuaga na mastaplan moja kali sana. Yaani excel sheet inaongea. hakuna ata mia inayopotea.
Mzigo ukiingia tu, chalii. Bar, vacation, Bar, kuhonga, Bar, Badoo, Bar,