Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,899
- 19,865
Utajiri halisi, udumuo unapatikana kumkichwa cha mtu mwenyewe; na utajiri uko anuwai ~ Socrates
Tatizo siyo utajiri, problem ni moyo. Mali hazikuumbiwa waovu, sawa!???Mnataka utajiri hamtaki tena kwenda mbinguni?
Tatizo siyo utajiri, problem ni moyo. Mali hazikuumbiwa waovu, sawa!???
Naona nimepoteza wino wangu bure; Ncha Kali huwa zina kazi ya kutoboa na kuharibu tuuuu.Uovu umeingiaje hapo!
Tatizo siyo utajiri, problem ni moyo. Mali hazikuumbiwa waovu, sawa!???
Duuh hii kali!Sijasoma uzi wako ila nabishia kichwa cha habari, ukipata pesa huwa unafanya yale mambo uliyokuwa unatamani kuyafanya ukipata pesa, kula vizuri, kugonga mademu, kusaidia watu nk
Kila mtu na ukweli wakeSijasoma uzi wako ila nabishia kichwa cha habari, ukipata pesa huwa unafanya yale mambo uliyokuwa unatamani kuyafanya ukipata pesa, kula vizuri, kugonga mademu, kusaidia watu nk