Liuti tarq
Member
- Sep 17, 2019
- 8
- 8
Waungwana kwasasa hivi dar soko la bidhaa ya Nazi ipoje? Maana Nina Nazi zangu zipo Kilwa kwa yeyote anayejua tuchekiane dm mzigo upo wa kutosha
Wazee wa bahasha20k?
Fafanua vizuri. Unahitaji ream ama unahitaji wanunuzi wa ream paper?Nahitaji connection ya ream paper kwa supply wa kariakoo