Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mkui hapo bado hunaandika bei ya screens labda anatakiwa ziwe ngap.. hii biashara unaweza iona simple kumbe ni ghali hivi?
Screen sio chin ya mbili inategemea na location. Kuhus ghali ni kwel inabid uwe kam na m 3 hv
 
Mayai ya kienyeji mazuri kwa kula na kutotolesha yapo ubungo riverside tray elfu 12000. Piga 0757 526752
IMG-20210623-WA0007.jpg
 
Msaada tafadhal, nahitaji kufanya biashara ya kuonyesha mpira! Mwnye uzoefu tafadhal niandae bajet kiasi gani? NB NATAKA KUANZA MWEZ WA 8.

itategemea na eneo na banda/ sehemu unayotaka kuonesha mpira ila kama utatumia tv ukiwa na tv kubwa utavutia watazamaji.banda la mpira ukipata eneo lenye mashabiki brother banda linatoa
 
Dawa za nywele za bei ya kiwandan napata wapi? Kama zile tinazonunuaga kariakoo kwenye Maduka. I'm sure wanapaa kwa bei rafiki zaidi
 
Back
Top Bottom