Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Lakini mkuu maduka ya mitumba nayajua m/mmoja kama upo Dar naweza kupeleka tukafanye uchunguzi maana mi natamani mabaloo ya shati grade 1
Kwa sasa nipo Moro mkuu, siku nikija nitakutaarifu twende. Nilipewa hints kuwa baloo la silk/shifoni kilo 45 ni 400k mpaka 450k na kilo 90 ni 700k-850k.
 
Wanajamvi naomben connection ya kusambaza Mchele Kwa jumla kwenye
-maduka
-ma hotel
-migahawa
Mchele ni mzuri na radha nzur toka kyela mbeya

Napatikana Dsm-Kinyerezi
No;0757160773
 
mkuu u hali gani, binafri sina nazi ila ka upo dar es salaam unaweza fika soko la sterio na ukapata japo kwa bei nafu kiasi chake japo haitofanana moja kwa moja na ya shamba
sterio na mabibo wapi bei nafuu?
 
Tunauza vifaa mbalimbali
Printer za epson
Photocopier za canon
Laminator

Vifaa vya simu kama
Vioo (LCD)
Protectors
Touch screen

Tupo kariakoo na Kibaha. Na vifaa vyote ni vipya kabisa na bei zetu ni nafuu. 0767086446
 
Back
Top Bottom