Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Hahhahaa ukiona Bei huielewi jua sio league yako Bora uachane nayo kiroho safi na mapema...😀😀
Ahahaaa league ndogo Sana hzo....sema muuzaji anazingua vtu kama hvyo una weka wazi iwe fahari ya macho wengne tunavutiwa kwa kuona na specifications ya kitu.
Na kunawengne wanavutiwa kwa Bei tu
 
Natafuta anayeuza nazi kwa bei ya shamban niwe najumua mzigo kwake.
mkuu u hali gani, binafri sina nazi ila ka upo dar es salaam unaweza fika soko la sterio na ukapata japo kwa bei nafu kiasi chake japo haitofanana moja kwa moja na ya shamba
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Nina-import viatu vya kike, nguo za watoto, mikoba na perfumes kutoka UTURUKI.

1. Viatu vya kumwaga (vya kupiga debe).
2. Viatu vya dukani.
3. Magauni ya watoto.
4. Mikoba na Mabegi
5. Chupi, Chupi na Brah na Night dress.
6. Perfume na Perfume Oils

Ninapatikana Tandika, Mtaa Chihota.
Nauza kwa jumla na rejareja.

Karibuni wakuu wana JF tufanye biashara
Nina eneo la kuuzia viatu ila sina mtaji unanisaidiaje niwe wakala nikiuza tunagawana faida
 
Je wahitaji viatu vya KIMASAI OG kwa jumla na reja reja bas usihofu
Tunauza viatu vya kimasai kwa bei ya kiwandani

Jumla ni shilingi 5000 tu

Reja reja ni shilingi 7000 tu

Tunapatikana mwenge na mikoani tunatuma bila shida yyte

Wasiliana nasi call/whatsap 0672904720
View attachment 1537747View attachment 1537748View attachment 1537749View attachment 1537750View attachment 1537751View attachment 1537752View attachment 1537753
Mkuu nitakutafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom