Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Jmn na Mimi natafuta Connection ya kupata tenda ya kusupply bidhaa za chakula Kama Mahindi,Maharage,Mchele,Nyama ya Ng'ombe,Kuku,Samaki n.k Kama mtu una hotel,kiwanda, Shule,Taasisi na maeneo mengine yenye uhitaji mkubwa naomba unichek kwa no.hii 0738-665702.Pia natafuta mtu mzuri wa Masoko tusaidiane kwa kazi hi Malipo maelewano
 
Habari wana Jf Nina portable toilets /mobile toilets kwa ajili ya matumizi yote ya outdoor. Kwenye misiba, matamasha, shughuli za ujezi na kadhalika.

Kampuni ni mpya nahitaji kupigwa tafu kupata wateja jamani

Namba ya simu ni 0768 333 953
Barua pepe ni muhogomchungu.kr@gmail.com

Kwa Msaada au support yoyote tutashukuru sana.

Bei ni kuanzia Tshs 150,000 kwa siku.
IMG-20200817-WA0007.jpeg
IMG-20200813-WA0004.jpeg
 
Naomba nipewe connection ya vipodozi vya kike na kiume visivyo na madhara. Nahitaji kununua kwa Bei ya jumla

Mimi nauza vipodozi vya kampuni ya hemani na sac kwa jumla na rejareja ni vya watu wote na ni vya asili. If interested njoo pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom