Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Ok sawasawa,so mpaka sasa wana endelea na mavuno? Na je kwa swala la mpunga au mchele km kule barabara ni changamoto je kwa Ifakara au huko Mlimba wapi unaweza kupiga bao vzr>>> ww ndio Damian J ulio leta hii taarifa ya mlimba,nadhani Ifakara pia utakua una ijua kwa swala hili la Nafaka.

Kuhusu nafaka naweza nikakudokeza kidogo.

-kuhusu mchele kwa sasa mwezi may& June kg 1 ina range sh 800 ad 1000 ikizidi Sana sh 1200.

-kuhusu mpunga debe 1 sh 7000,gunia (debe 10) sh 70,000.

-mahindi makavu debe sh 10,000 adi 11,000.

-ufuta kg 1200 (sina uhakika sana na hyo bei kuhusu ufuta).

Hizo Bei ni maeneo ya mlimba,chita,mngeta,njage,mbingu na mofu kuhusu ifakara sijajua vzur,Ila kwa ifakara Bei haiwezi ikazid sh 1300.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka
ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za kazi .

Katika kuzunguka kwangu kote kutafuta kibarua/kazi nimebaini kuwa bila kujuana na mtu ni vigumu kupata kibarua/kazi .

bila connection ni ngumu kupata kazi hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za kazi

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbal mwisho wa siku kupeana connection za kazi kutokana na ombi la muhusika.

Tupo watu mbalimbali jamii forum tukitafuta kazi/kibarua lakini kutokana na kutokuwa na connection tunakosa Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwetu.

Elezea unahitaji connection ipi katika kazi kisha subiri kupewa connection na wadau mbali mbali katika kai/ajra Na tenda

Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo Kwa taifa.

Binafsi Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27.

Elimu yangu nina Certificate of Electrical Daraja 3 .

natafuta kazi/kibarua cha ufundi umeme
viwandani, maofisini, majumbani, site mbalimbali n.k

Pia ni fundi mzuri wa kutatua matatizo sugu ya umeme majumbani kama umeme kuisha bila matumizi sahihi Na taa kuungua Mara Kwa mara Na ninafanya wiring Kwa bei nafuu Kwa usalama Na ubora .
Napatikana ilala Dar es Salaam
Kwa mawasiliano zaidi njoo PM

Karibuni wakuu
 
Back
Top Bottom