Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Buda Electric Water Pump
- Ni rahisi kutumia
-Ni rechergeable (inachajiwa)
-Inatumia Usb Cable (smartphone charger) kucharge
-Inatunza Charge ndani Mwezi Mmoja na zaidi
- Inatumika Nyumbani, Ofisini na Outdoor Events,
Tupo Kariakoo Livingstone,Pemba street
Price
Tsh 35000/=
WhatsApp & Calls
0714122948
Delivery ipo Ukihitaji
Mikoani Tunatuma pia
KARIBUNI SANA..View attachment 1557220View attachment 1557225

Hivi hizi zinatoa maji ya badiri au ni kupandisha maji tu apo ??
 
Nauza motor ya kuvuta maji kisiman. bei laki 3. specifications zake zko kwny picha. location kimara mwisho dsm.contact 0687886600View attachment 1581621View attachment 1581622View attachment 1581623View attachment 1581624
20200925_121630.jpg
View attachment 1581625
 
Jamani mi nataka kufanya biashara ya kuku wa kienyeji nawatoa Singida kuwaleta Dar naomba wenye uzoefu na soko la Dar anijulishe niende wapi na wapi maana kuna mtu kanambia hotelini au Manzese sokoni sasa sijui nianzie wapi
 
Jmn mi nataka kufanya biashara ya kuku wa kienyeji nawatoa singida kuwaleta dar naomba wenye uzoefu na soko.la dar anijulishe niende wapi na wapi mana kuna mtu kanambia hotelin au manzese sokon sa cjui nianzie wapi
Manzese wanalalalia sana hutapata faida nzuri. Kama una nafasi washushe kuku wako then Anza kuuza rejareja jitangaze kwenye mitandao, fanya delivery, weka kanisani Jumapili watu wakitoka itakulipa.

Hiyo ya kupeleka sokoni mtaji utakata.
 
Back
Top Bottom