Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Mwenye connection ya soko au sehemu nzuri ambapo MANANASI yanauzika sana na kuna mzunguuko mkubwa wa watu, anicheki tuyajenge.
Mimi ni nafahamu sehemu yanapopatikana kwa wingi na uhakika kipindi cha msimu.
Pia mimi ninamashamba yangu hivyo tutafanya sana biashara tukishirikiana..

Wassalam!!
 
Mkuu kama upo kanda ya ziwa yan Mwanza, Simiyu, Shinyanga geita na Mara isipo kuwa Kagera njoo nikupe mchongo huo utakuja kunishukuru
 
Mkuu mie siyo mtoto hakunaga kaz ambayo haina utani, yan ww muda wote unataka tuongelee hela tu. Na utani mara moja moja ili maisha yaende kiulani na ukiwa na fweza mkuu tumia piga hata Konyagi ili akili ikaye good

Hhahaha! Sawasawa...ni kwel sio mida wotw kuwaza hela
 
Ok wapo wengi sana mkuu ni wewe. Tena kwa leo debe linauweza uzwa kwa Tsh 6000 mpaka 8000. Fanya mpango nikutumie leo
mkuu nliifanya hii mwanzoni mwa mwaka huu ila Bei ya sokoni dar haikuwa good kivilee,..nkaacha kwanza vipi Kama kisiwani Bei Ni hiyo sokoni inatembeaje kwa kilo?
 
Back
Top Bottom