Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
Mkuu nipo Mbingu
Usisahau magimbiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.

Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara tofauti tofauti na mwisho wa siku kupeana connection za biashara kutokana na ombi la muhusika. Wapo watu mbalimbali Katika duniani hii wana mitaji mizuri tu lakini kutokana na kuto kuwa na connection wametulia na mitaji yao. Hivyo basi uzi huu uwe msaada kwao.

Elezea unahitaji connection ipi katika biashara kisha subiri kupewa connection na wahusika katika biashara hiyo. Lengo ni kusaidiana na si vinginevyo. Tuweke roho mbaya pembeni kisha tuungane pamoja katika gurudumu la maendeleo.

Wadau karibuni katika uzi huu tupeane connection za biashara.
Mwenye kujua soko la ulanga au (mica) aje tupeane mchongo.
 
Back
Top Bottom