Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

Funguka mkuu fursa za huko Mlimba
Si ndio Ifakara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana.

Mkuu hebu funguka zaidi hizo fursa ulizo ziona huko
 
Safi sana
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana

Bei ya viwanja huko ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mashine ya kupukuchua mahindi umenikumbusha sehemu moja wilayani kilindi kuna jamaa ana hiyo mashine aisee jamaa anasepa na kijiji balaa. Ujue kule kilindi, Tanga wanalima mahindi sijapata kuona watu wanalima balaa ukiwa na mashine hiyo hasa kipindi hichi utawakusanya watu balaa. Labda ushidwe wewe tu.
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
 
Hiyo mashine ya kupukuchua mahindi umenikumbusha sehemu moja wilayani kilindi kuna jamaa ana hiyo mashine aisee jamaa anasepa na kijiji balaa. Ujue kule kilindi, Tanga wanalima mahindi sijapata kuona watu wanalima balaa ukiwa na mashine hiyo hasa kipindi hichi utawakusanya watu balaa. Labda ushidwe ww tu
Nikirudi nataka niitafute hiyo mashine vijijini ni dili sana.
 
Sio ifakara ila ni mji mdogo katika wilaya ya kilombero huku kwanza mashamba ni Bei nafu unapata 200000 kwa hekali tena vijiji vyake vina umeme vile vile ardhi inakubali kila aina ya mazao mpunga gunia unapata kwa 50000 vilevile Kuna kilimo cha ufuta afu Kuna mazao ya mboga mboga nyanyachungu wanauza debe 5000 na Kuna wakulima wengi wa ndizi ndizi tunazonunuaga dar 250 mojahuku mkungu unapata kwa1500 Kijiji Cha mbingu afu Kwenye mavazi wanauziwa Bei kubwa lakini wananunua afu ukiwa na mashine ya kupukuchua mahindi unapiga sana pesa Kuna jamaa anayo anawakusanya sana
Saved!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom