Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

Sitaki kabisa kuwasikia,kuna mmoja juzi kati nusra anivunje mguu mpaka saiv nipo nachechemea tu
 
Vishandu nao ni boda boda?, basi bwana naelekea zangu Dodoma , pale stendi msamvu kuna eneo linaitwa stendi ya dodoma, mara nyingi huwa kuna private cars zinapitia abiria pale. Na huwa kuna trafiki pale sasa mmoja wao kashika simu anaongea huku anasimamisha magari kwa ukaguzi wa hapa na pale, heeee.. akapita kishandu akakwapua simu ya tafiki kisha akafungua turbo ya pikipiki uelekeo wa kihonda kwa kasi ya ajabu.
Askari akapaniki ili achukue boda wamkimbize boda wakamwambia achana nae huyo hutampata, utakuja upoteze maisha kwa ajali kisa simu, hao watu wameshajisusa kifo kipo mkononi.
Aisee tulicheka sana.
 
Kuna muda hao boda boda wenyewe ndiyo wanatutaka sisi wake za watu, mimi sipendi kabisa mazoea nao maana siku mbili tu ukiwa unamuagiza unashangaa anaanza kukutongoza
Shusha ushuhuda... baada ya hapo inakuaje...
 
Nimepitia kwa demu wangu fulani aliniagiza nimpelekee mzigo fulani kutoka mjini, nikaenda na boda, nikakabidhi mzigo kisha nikaondika nae yule boda njiani akaniuliza yule mwanamke ni nani yako? Nikamwambia ni mke wangu mtarajiwa, akastuka! ..
Akauliza unasema kweli? Nikamjibu sitanii nasema ukweli.. akajibu daah!
Nikapata udadisi wa kumuuliza kulikoni mbona kama kuna jambo hakiko sawa?
Akaniambia bro! Kama ni kuoa achana nae, kama unamtumia endelea nae..
Sikumuelewa nikamuuliza kwanini? Akaniambia kwamba yule mwanamke ni mchumba wa daktari mmoja hivi wa hospitali ya rufaa, na pale home yeye ameshafika mara nyingi tu na wanafahamiana vyema na yule mwanamke.
Kabla hatujakaa sawa mwanamke akapiga kwenye simu ya boda akimuuliza vipi umeshamshusha huyo kaka, akamjibu ndio, mwanamke akamsihi boda asiseme chocchote kama wanajuana.
Walipomaliza maongezi boda akanieleza jinsi alivyoagizwa.
Nilimshukuru sana kwa kunisanua, lakini niliumia sana
Mzee wangu usiumie unajikaza kiume kuna mdau mwingine na yeye unakuta anapewa taarifa zako then wote mnaishi kwa
 
Nimepitia kwa demu wangu fulani aliniagiza nimpelekee mzigo fulani kutoka mjini, nikaenda na boda, nikakabidhi mzigo kisha nikaondika nae yule boda njiani akaniuliza yule mwanamke ni nani yako? Nikamwambia ni mke wangu mtarajiwa, akastuka! ..
Akauliza unasema kweli? Nikamjibu sitanii nasema ukweli.. akajibu daah!
Nikapata udadisi wa kumuuliza kulikoni mbona kama kuna jambo hakiko sawa?
Akaniambia bro! Kama ni kuoa achana nae, kama unamtumia endelea nae..
Sikumuelewa nikamuuliza kwanini? Akaniambia kwamba yule mwanamke ni mchumba wa daktari mmoja hivi wa hospitali ya rufaa, na pale home yeye ameshafika mara nyingi tu na wanafahamiana vyema na yule mwanamke.
Kabla hatujakaa sawa mwanamke akapiga kwenye simu ya boda akimuuliza vipi umeshamshusha huyo kaka, akamjibu ndio, mwanamke akamsihi boda asiseme chocchote kama wanajuana.
Walipomaliza maongezi boda akanieleza jinsi alivyoagizwa.
Nilimshukuru sana kwa kunisanua, lakini niliumia sana
🤣🤣
 
Boda wenye kujielewa ni kazi poa kwa hela ya maisha ya kawaida. Kuna wanaoendesha familia kwa kazi hii.

Kule Mgeta Moro milimani, asee ndo usafiri mkuu. Kuna mahali nauli ni 25,000!

Ila bonge la risk
 
Kumbe mastori sio !?
Kuna brother mmoja kipindi cha nyuma alikuwa anasimamia kampuni ya wahindi sijui muhindi ,atajijua mwenyewe na usenge wake.Sasa kaka mkubwa kapanga nyumba ,nzima ana mke mmoja saafi .
Tatizo la kaka mkubwa alikuwa akipita maskani mikausho mikali na ujivuni mwingi.Kuna askari si akaanza kumtombea mke wake akitoka,akapewa taarifa akazipuuzia anadai anamuaminia wife.Siku hiyo askari kaingia boda wakamfata mpaka jobu akashuhudie makankasha.Baada ya hilo tukio kaka mkubwa kila alikuwa akipita lazima aache ulinzi.Sema boda nayo kazi ngumu yaani hulipwi mpaka upumuliwe kisogoni.

Hiyo ndio stori yangu ya leo.
Oiii.
 
Pole sana
 
Ila we jamaa hapo mwisho umewaua sana wanangu wa Boda Boda
 
Boda wenye kujielewa ni kazi poa kwa hela ya maisha ya kawaida. Kuna wanaoendesha familia kwa kazi hii.

Kule Mgeta Moro milimani, asee ndo usafiri mkuu. Kuna mahali nauli ni 25,000!

Ila bonge la risk
Binafsi nawapa respect sana kuna jamaa niliwahi kumuachia Boda afanye biashara namna alikuwa anapambana na misuko suko na anasolve kwa hela ya Boda sikuamini na hapo ananiletea mpunga kama kawaida japo baadaye alizingua nikaachana kabisa na hii biashara.
 
Back
Top Bottom