Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

Uzi maalumu matukio ya Boda Boda!

second9

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
294
Reaction score
628
Part 1:

Hawa boda boda nilikuwa nawachukulia poa sana ila kuna siku jamaa alifanya jambo positive sana kwangu nikaona kumbe zile speed zao muda mwingine wanawahi kusave maisha ya watu.

Jamaa nilimuagiza apeleke dawa sehemu ambayo najua kwa gari huwa natumia 1hr na ikiwa public hata masaa 3. Ila huyu bwana nilipomwambia hii ni dose muhimu inatakiwa mgonjwa anywe asubuhi hii, nilishangaa home napigiwa simu after 20min wamepokea mzigo niliwaza sanaa. Ila ilibidi tu nimtumie na elfu 10 nyingine ya ziada yule bwana kwa risk aliyoichukua.

Part 2:
Nipo zangu nimechill home mara naona jamaa wa boda kwa dirishani amesimama muda mrefu maana nlisikia pikipiki ikiingia getini.

Ile nainuka niangalie vizuri nini kinaendelea naona wife wa jirani anatoka na pichu na vest anapokea mzigo ... daah hapa nimerudi tu kukaa na kuwakumbusha ndugu zangu mnapotoka home muwe mnasali maana vijana wanategwa sana na hawa kina mama sio kama wao ndio wanapenda wake za watu.

Kama unajambo lingine kuhusu hawa jamaa nakukaribisha hapo chini ... 🏍🏍
 
Nimepitia kwa demu wangu fulani aliniagiza nimpelekee mzigo fulani kutoka mjini, nikaenda na boda, nikakabidhi mzigo kisha nikaondika nae yule boda njiani akaniuliza yule mwanamke ni nani yako? Nikamwambia ni mke wangu mtarajiwa, akastuka! ..
Akauliza unasema kweli? Nikamjibu sitanii nasema ukweli.. akajibu daah!
Nikapata udadisi wa kumuuliza kulikoni mbona kama kuna jambo hakiko sawa?
Akaniambia bro! Kama ni kuoa achana nae, kama unamtumia endelea nae..
Sikumuelewa nikamuuliza kwanini? Akaniambia kwamba yule mwanamke ni mchumba wa daktari mmoja hivi wa hospitali ya rufaa, na pale home yeye ameshafika mara nyingi tu na wanafahamiana vyema na yule mwanamke.
Kabla hatujakaa sawa mwanamke akapiga kwenye simu ya boda akimuuliza vipi umeshamshusha huyo kaka, akamjibu ndio, mwanamke akamsihi boda asiseme chocchote kama wanajuana.
Walipomaliza maongezi boda akanieleza jinsi alivyoagizwa.
Nilimshukuru sana kwa kunisanua, lakini niliumia sana
 
Pole sana mkuu
 
Hahahaha
 
Nipo kibaha kwa mathiasi, kuna ex wangu yupo kimara kaniita nikale mzigo, saa sita hiyo usiku, kwa uroho nikaita boda hata simjui akanikimbiza chap hadi kimara na nikamwambia anisubiri ili turudi wote nitamlipa vizuri tu asijali.
Nikaonana na ex wangu tukatafuta faragha nikamkanda chap chap .
Nikatoka nikamchukua yule boda hao tukawa tunarudi kibaha,saa kumi kasoro hiyo, akanifikisha site nikashuka nikawa natoa pesa kwenye waleti ili nimlipe,waleti ilikuwa imejaa wekundu wa kutosha,sijui nini kilitokea alipita nayo kwa kasi ya mwewe na kutokomea akiniacha nikishindwa hata kupiga kelele za mwizi.
Nikajiesema ndio faida ya uzinzi hii.ningetulia zangu home haya yote yasingenikuta, pilika zote hizi kisa kipochi manyoya, napo nilipiga nusu saa tu.
 
Back
Top Bottom