Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

Mi sioni mirejesho kabisaaa. Au ndo mnamalizana mumo kwa mumoooo. Mlete jmn , maana Kuna ombi moja nimevutiwa nalo nalizoom tu nasubiri mirejesho Ili nami nimvutie waya pm
 
Back
Top Bottom