De Rabbits slick
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 167
- 166
- Thread starter
- #161
Shukran sana kwa mchango wako.Nimeweka uzi natafuta meli mbovu kubwa na ndogo
Kwa ufafanuzi zaidi je meli hizo ziwe aina yoyote ile ilimradi iwe meli..

Na je kwa maeneo gan hata nje ya nchi unachukua?
Asante
Tuendelee kupeana michongo