Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Habari,naomba mwenye michongo ya kazi naomba tuwasiliane PM
Elimu
Ualimu wa chemistry & Biology (SUA)
Useremala bado nipo mafunzoni Ila baadhi ya vitu Kama kutengeneza Meza,stuli na kupiga blandering

Kazi ninazohitaji
-Kufundisha masomo ya kemia na bioloji kwa shule za private jamani ata part time
-Kutengeneza stuli,meza na kupiga blandering
-Vibarua vya ujenzi

Shukrani Sana#Tupeane michongo
 
Anahitaji michongo ndugu yetu anataaluma ya Ualimu wa kemia na bailojia.

Pia anahitaji mchongo hata wa ufundi seremala.

Tumpe mchongo pia ushauri nin afanye ili kufanikiwa.

Mwenye michongo wa ualimu bhasi amsaidie ndugu yetu aweze jikwamua katika maisha yake.

Asante sana.
Najua ipo siku atakuja mmoja na kutoa ushughuda kuwa uzi huu ulibadilisha maisha yake kwa kupata mchongo kutoka humu.
Hivyo bhas tusisite kusaidia kwa kuwa hatujui kesho tutakuwa wapi.

#
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
TUPEANE MICHONGO
TUPEANE MICHONGO

+IWE YA HALILI
+ISIYO NA CHEMBE YA UTAPELI
+YENYE LENGO LA KUMSAIDIA KIJANA MWENZAKO KUTOKA KATIKA HALI NGUMU.

Tutambue jamii bora hujengwa na sisi wenyewe hivyo hatuna budi kila mmoja wetu kutia mchango wako katika kuijenga jamii yetu katika kuondokana na halii tuliyonayo kwa sasa.

VIJANA WAPO KATIKA HALI MBAYA.
SISI NDIO TUNAWEZA KUWAINUA VIJANA WENZETU NA SIO WENGINE..

Kama unamchongo wowote ule bhas usisite kushare ili na wengine wapate kunufaika.

Shukran sana
 
Habari,naomba mwenye michongo ya kazi naomba tuwasiliane PM
Elimu
Ualimu wa chemistry & Biology (SUA)
Useremala bado nipo mafunzoni Ila baadhi ya vitu Kama kutengeneza Meza,stuli na kupiga blandering

Kazi ninazohitaji
-Kufundisha masomo ya kemia na bioloji kwa shule za private jamani ata part time
-Kutengeneza stuli,meza na kupiga blandering
-Vibarua vya ujenzi

Shukrani Sana#Tupeane michongo

Kuna shule ipo kule kiluvya, Gogoni, Dar, inaitwa Kifai, peleka maombi.
 
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo

Nilileta mchongo wa kutafuta gari ya uber /bolt bado sijapata nimeludi tena kijana mwezenu
Bado sijapata gari akaunti zote ninazo na zipo active
Boss mwenye gari au kama una connection ya gari tusaidiane
0656539177
Nawasilisha
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Anahitaji michongo ndugu yetu anataaluma ya Ualimu wa kemia na bailojia.

Pia anahitaji mchongo hata wa ufundi seremala.

Tumpe mchongo pia ushauri nin afanye ili kufanikiwa.

Mwenye michongo wa ualimu bhasi amsaidie ndugu yetu aweze jikwamua katika maisha yake.

Asante sana.
Najua ipo siku atakuja mmoja na kutoa ushughuda kuwa uzi huu ulibadilisha maisha yake kwa kupata mchongo kutoka humu.
Hivyo bhas tusisite kusaidia kwa kuwa hatujui kesho tutakuwa wapi.

#
Tupeane michongo
Tupeane michongo
shukrani Ndugu kwa kukazia Mungu akubariki
 
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo

Nilileta mchongo wa kutafuta gari ya uber /bolt bado sijapata nimeludi tena kijana mwezenu
Bado sijapata gari akaunti zote ninazo na zipo active
Boss mwenye gari au kama una connection ya gari tusaidiane
0656539177
Nawasilisha
Tupeane mchongo
Tupeane mchongo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ndugu yetu huyu dereva uber anahitaji gari ya kufanyia shughuli za uber..

Kama unayo ua unafahamu mwenye uhitaji wa dereva bhasi usisite kumpatia ndugu yetu mchongo.

Tupeane michongo
 
Mchongo wa bartender/barman
FB_IMG_1632069195671.jpg
 
Mwalimu wa masomo ya economics na geography, nahitaji shule ya kufundisha.
Kingine kama kuna mtu anakopesha au taasisi nahitaji ufadhili kwenye kilimo cha nyanya ekari moja kuanzia mwezi oktoba. mawasiliano : 0786898066
 
Back
Top Bottom