Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Wakuu,
Sifa zangu; leseni ya udereva class A,B,C1,2,3 na D, degree ya Human Resource management, pia nilipiga course ya computer applications chuo na O level (form 1-4) nilisoma Information Technology

Naombeni connection ya kazi yoyote ile, lakini pia nikipata connection ya Migodini nitashukuru,kwa mfano,naona Anglo gold Ashanti wametoa nafasi kibao
 
Screenshot_20230713-164354.png

Wakuu, connection ya huku sipati ?
 
Wakuu,
Sifa zangu; leseni ya udereva class A,B,C1,2,3 na D, degree ya Human Resource management, pia nilipiga course ya computer applications chuo na O level (form 1-4) nilisoma Information Technology

Naombeni connection ya kazi yoyote ile, lakini pia nikipata connection ya Migodini nitashukuru,kwa mfano,naona Anglo gold Ashanti wametoa nafasi kibao
Umeomba?? Omba uone kama utanyimwa.
 
Salamu wana-jf
Naomba msaada kwa yoyote mwenye connection ya kiwanda au shughuli yoyote inayolipa walau Tsh 8,000/- kwa siku.

Kwa sasa nipo kiwanda kimoja hapa Dar es Salaam lakini malipo ni Tsh 4,500 kwa siku na tunafanya kazi 12 Hours sasa sioni nikifikia malengo wala kupiga hatua
Nipo Dar es Salaam. Ahsante
 
Dah pole sana mkuu.
Dunia imekuwa uwanja wa vita sana.
Maboss wanazid kutukandamiza na wao wakizid kunufaika
 
Back
Top Bottom