Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,661
- 126,407
Sawa sawa my wii
Yah sicheki njiani.....nacheka na kaka yako chumbani tu baaas...
Sawa sawa my wii
Naam, mwanamke kujichekesha-chekesha hovyo hadharani inahusu nini?
Huyo waziri barabara kabisa. Na hilo la simu wala si uongo, wengi utawakuta wanaongea mambo ya kijinga-jinga tu.
Mie nikienda huko nitakuwa nakumbuka maudhi tu ili niwe nanuna 24/7!
kamati ya mwakyembe ingewahoji hao watu wawili, nafikiri ingeweza kuthibitisha bila doubt nani mmiliki wa richmond na dowans....
lakini kwa vile serkali haikutaka watu hao wahojiwe, ndio ukakuta "wakaenda nje ya nchi" na hawakulazimishwa kutoa ushahidi wowote baadae.
rostam lazima ajitape kwa mengi kwa sababu anajua hawezi kwenda chini peke yake, na kiongozi wajuu kabisa hawezi kuruhusu kuanguka naye.
1 wakorintho 14; 34-35.
Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.-
35-Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.-
Hapo dada zako mama zako na wale mapashkuna wengine woote wanaambiwa wafunge MAKOPO yao ndani ya makanisa!
Sasa hebu waangalie hawa mama zako hapa , wako gongo! Wanaruka ovyo ndani ya kanisa.!
sasa yule mungu mzungu mwenye nepi wa msalabani atawafurahia kweli?
http://m.youtube.com/watch?v=b1dcXUH2vbo
Tamko la huyo waziri halihusiana kbsa na Biblia wala Quaran takatifu,sijui wagalatia wala halina chembe yoyote ya udini.Tamko lake ni kwa wanawake wote (haijalishi ni muslims au wakristo) wanaoishi Uturuki.
Hizo blabla zko hapo juu ndo mchango wako?
Kheeeeee!!kheeeeee!! cheko lako hilo.Kwa mtaji huo Uturuki baada ya miaka kadhaa wanawake watakuwa wachache sana,mana kucheka kwaongeza siku za kuishi ati.By the way huko ni kumnyima mwanamke uhuru wake, kwani wanaume wao hawavunji maadili? kwani wanaume mabinti a.k.a mashostisto hawako huko??