Dj mat
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 747
- 476
Inaweza kuwa kali ya mwaka, lkn ni kweli imetokea nchini Uturuki ambapo wanawake wamezuiwa kucheka hadharani kwa madai kuwa hali hiyo inachangia kuporomoka kwa maadaili.
Agizo hilo limetolewa na Naibu waziri mkuu wa nchi hiyo Bulent Arinic ktk salam zake za sikukuu ya Eid El Fitri.
Aliongeza kuwa wanawake pia wamekuwa na tabia ya kutumia simu kwa muda mrefu kujadili mambo yasiyo na msingi.
Source: Gazeti la Mwananchi 03/08/2014
Kauli kama hiyo ikitolewa hapa bongo itatekelezwa?