Dj mat
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 747
- 476
- Thread starter
- #61
We ustake kufanya watu wajinga hapa!
Mbona wale wabakaji wa kule Roma hujawaanzishia uzi!?
Umeweka hii kitu hapa ukijua kuwa wagalatia wenzako watakuona wa maana sana kwa kukashifu nchi za kiislamu Indirect!
Na umefanikiwa kuwapata machangu km Remote waje kurusha mipasho hapa.
Nyie wagalatia mara zote mnaangalia sehemu zisizo wahusu na kujifanya hamuoni mapadri wanavyolawiti watoto wadogo dunia mzima.
Yaani ugalatia ni laana ya ajabu sana.
Mm siwezi kukashifu imani/dini ya mtu;na hilo tamko sijalitoa mm mkuu.Kama vp cheki na huyo Waziri upeleke malalamiko yko kwake!
Last edited by a moderator: