Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Naam, mwanamke kujichekesha-chekesha hovyo hadharani inahusu nini?
Huyo waziri barabara kabisa. Na hilo la simu wala si uongo, wengi utawakuta wanaongea mambo ya kijinga-jinga tu.
Hizo ni sheria za dini au serikali?