Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,453
- 13,423
Kiwanda kimoja cha vyakula karibu na mji wa Istanbul kinachomilikiwa na kampuni ya kimarekani,Procter & Gamble kimevamiwa na watu waliovalia sare zenye nembo za kipalestina na kushikilia mateka kadhaa.
Kampuni hiyo imethibitisha kutokea kwa tukio hilo kama walivyothibitisha polisi wa nchini humo kutokea kwa tukio hilo,
Msemaji wa kiwanda hicho amesema kutokana na tukio hilo imebidi kuondoa wafanyakazi wa kiwanda hicho na kufanya mawasiliano na mamlaka za Ururuki ili kutatua mzozo huo.
Assailant takes hostages in Gaza protest near Istanbul