Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Huwezi kutajilika bila kufanya ukatili ,hicho kilikuwa kipindi Cha "primitive accumulation of capital" ni sawa na wewe unapoenda kuchukuwa vijana kijijini kuwapeleka shambani kwako kwa ujira mdogo Sana kwahiyo hiyo tabia bado ipo miongoni mwetu utofauti ni level ya utumwa
 
Ata sasa bado tunatawaliwa kiakili,kiuchumi na kielimu,,,warabu kila siku wanaua na kuwatesa ndugu zetu,fikiria kama ad karne hii wanafanya huo unyama vp useme warabu walitutumikisha kwa asilimia ndogo?
 
Ukiuwa hao wawili linakuja jeshi kuuwa kijiji kizima. Chini Mkwawa alijitia mhanga sana
Tatizo lilikua ni umoja na ushirikiano kama weusi wengi wangekubali kufanya Hilo kwa Pamoja let's say nchi nzima Basi hakika tungeshinda sababu tulikua wengi zaidi yao tena wengi sana wasingeweza kumaliza nchi nzima albeit casualties would still be there. Hata kuzipa nchi za Africa Uhuru sio kitu walichopenda ila it was high time wafanye sababu waliona nchi nzima na bara zima limeamka, hivyo tulijichelewesha wenyewe.
 
Nimejikuta napata wazo la kuwafungulia watwana mashtaka kwenye mahakama za ya kimataifa
 
Ata sasa bado tunatawaliwa kiakili,kiuchumi na kielimu,,,warabu kila siku wanaua na kuwatesa ndugu zetu,fikiria kama ad karne hii wanafanya huo unyama vp useme warabu walitutumikisha kwa asilimia ndogo?
Wazungu hawawauwi weusi? Ynataja waarabu tu.....
 
Mara ooooh waarabu waliwahasi weusi ndio maana hawako Arabuni mara oooh waliwaua.... we bhana acha chuki na waarabu. Aliyekwambia maneno hayo ni nani? Au babu yako alikuhadithia jinsi alivyohasiwa? Na alikuhadithia lini na wapi?
Nina mashaka na elimu yako. Nini hasa unachopinga kwamba waarabu hawakuhusika kwenye utumwa au kwamba hawakuhasi wanaume, a quick Google search could give u some insight.
 
Sioni haja ya kuyafurahia mambo yaliyokuwa yakitendeka kipindi cha utumwa ,sio siri watumwa walinyanyasika na kudharirika kama inavyooneshwa pichani hivyo.....nao ilikuwa ni wakat wao wa kuwatesa binadamu kama walivyo wao sitaraji hata kama Leo ikatokea hivyo watu watakubali sizani kabisa itakuwa mshike mshike ndipo tutakapo ona vita vya tatu vya duniaaa
Huwez kuona nduguyo kwa wakati huu anadhalilishwa kiasi hicho ukakalia kimya lazima upambane
 
Nina mashaka na elimu yako. Nini hasa unachopinga kwamba waarabu hawakuhusika kwenye utumwa au kwamba hawakuhasi wanaume, a quick Google search could give u some insight.
Hizo habari kwenye google ameziweka nani? Nina mashaka na elimu yako ya sunday school ukubwani.
 
Tatizo lilikua ni umoja na ushirikiano kama weusi wengi wangekubali kufanya Hilo kwa Pamoja let's say nchi nzima Basi hakika tungeshinda sababu tulikua wengi zaidi yao tena wengi sana wasingeweza kumaliza nchi nzima albeit casualties would still be there. Hata kuzipa nchi za Africa Uhuru sio kitu walichopenda ila it was high time wafanye sababu waliona nchi nzima na bara zima limeamka, hivyo tulijichelewesha wenyewe.
Mkuu kumbuka hawa watu walitumia bunduki wakati babu zetu walikuwa na upinde na mishale pia wakishambuliwa walikimbia kupeleka ujumbe kwao na walikuja na nguvu mpya. Kumbuka kwa wakati ule hawa jamaa walikuwa na technics za kina Alexander the Great
 
Hizo habari kwenye google ameziweka nani? Nina mashaka na elimu yako ya sunday school ukubwani.
Nilikuonya usiangalie hizi taarifa kwa miwani ya Dini. Unless wewe ni muarabu ndio maana unatetea ila kama ni mweusi ni ajabu kuona unapinga tena kwa nguvu kwamba waarabu hawahusiki kwenye utumwa. Hata waarabu wenyewe wanajua hili. Nakuuliza unachopinga hasa ni nini maana sielewi nini unachobisha.
 
Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
Kila kitu unachokitegemea sasa hivi kimetokana na efforts za wazungu katika kufikiri zaidi.

Jiulize hivi haya magari tunayotumia yametoka wapi,viwanda vya nguo,simu,ndege,internet ns mengine mengi.

Kwa namna yoyote ile sisi waafrika hatuwezi kujilinganisha na wazungu hata siku moja.

Ikitokea bahati mbaya ukaumwa Leo halafu ukapelekwa Mhimbili ikashindikana basi hapo ndo utajua kwamba wazungu ni wazungu tu.

Sasa hivi umekaa unaingia JF kutokana na wazungu kutuletea mambo ya internet.

Amini usiamini bila hawa wazungu sisi waafrika tungekua gizani mpaka Leo maana hakuna nchi ya Africa iliyoweza kubuni maswala ya umeme.
 
Utumwa ulifanywa na wazungu. Naona mada unaielekeza kwa waarabu tu.
My friend, hakuna sehemu niliposema Wazungu hawakufanya biashara ya watumwa, nilikuwa najibu hoja moja tu ya KWA NINI HAKUNA BLACKS in Arab World.

Arabs walikuwa mainly sellers na wazungu walikuwa wateja wao. Kama kuna kitu unajaribu kulazimisha, is up to you.
800px-TipputipPortrait.jpg

Huyu Hamed bin Mohammed el Murjebi (Tippu Tip) kamuulizie kuanzia Ujiji, Urambo hadi Bagamoyo. Wazee watakueleza habari za Tip Tip.

Wazungu waliojihusisha na kukamata watumwa kwa huku Tanganyika hatuna madhila yao kwa kuwa Wareno hawakufika huku. Lakini haimaanishi kuwa Wazungu hawakujihusisha na biashara ya watumwa.
 
Nilikuonya usiangalie hizi taarifa kwa miwani ya Dini. Unless wewe ni muarabu ndio maana unatetea ila kama ni mweusi ni ajabu kuona unapinga tena kwa nguvu kwamba waarabu hawahusiki kwenye utumwa. Hata waarabu wenyewe wanajua hili. Nakuuliza unachopinga hasa ni nini maana sielewi nini unachobisha.
Inaonekana kama tumewagusa miungu wake.
 
Siamini kama kweli huyu ndiye yule Machali aliyekuwa akimnyima usingizi spika bungeni enzi zile akiikosoa serikali. .!!
 
Nacho jiuliza..inchi nyingi sana duniani zilitawaliwa..ila kwa nini biashara ya watumwa ilifanywa kwa waafrica pekee?..tazama hizo picha ni wazungu against waafrica..wala si mzungu against mzungu mwenzake
..
 
Kama utafuatilia history ya Roma Italia, utajua kwamba utumwa haukuwa kwa watu weusi tu, hata Ulaya nchi kama Poland, Romania na nchi nyengine walikuwa wakipelekwa Italia As a slave na wakiuliwa kama kuku, Ukija Egypt, Jews walikuwa slave mpaka nabii Mussa kaja kuwaondoa na kuuwangusha utawala wa firauni.
Ila walikuwa hawateswi kama walivyokuwa wanateswa waafrica..
 
Nacho jiuliza..inchi nyingi sana duniani zilitawaliwa..ila kwa nini biashara ya watumwa ilifanywa kwa waafrica pekee?..tazama hizo picha ni wazungu against waafrica..wala si mzungu against mzungu mwenzake
..
Waingereza walikuwa watumwa wa Warumi, Wamarekani walikuwa watumwa wa Waingereza
 
Kila kitu unachokitegemea sasa hivi kimetokana na efforts za wazungu katika kufikiri zaidi.

Jiulize hivi haya magari tunayotumia yametoka wapi,viwanda vya nguo,simu,ndege,internet ns mengine mengi.

Kwa namna yoyote ile sisi waafrika hatuwezi kujilinganisha na wazungu hata siku moja.

Ikitokea bahati mbaya ukaumwa Leo halafu ukapelekwa Mhimbili ikashindikana basi hapo ndo utajua kwamba wazungu ni wazungu tu.

Sasa hivi umekaa unaingia JF kutokana na wazungu kutuletea mambo ya internet.

Amini usiamini bila hawa wazungu sisi waafrika tungekua gizani mpaka Leo maana hakuna nchi ya Africa iliyoweza kubuni maswala ya umeme.
Kila kitu kina zama zake na ndiyo maana hata hao wazungu waliwahi kufanywa watumwa na kabla ya hao wazungu watu walishaanza kugundua vitu mbalimbali,hivyo haya maendeleo unayoyaona sasa si kwa sababu ya wazungu bali ndiyo zama iliyopo na ndiyo maana huko kwa wazungu kuna mataifa tofauti tofauti nao wanahusika katika kutengeneza hivi vitu.
 
Back
Top Bottom