inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,575
kama hizi ndo sababu za utumwa arabuni,napata shaka na biashara ya utumwa kwenda bara arabu
Sexual pleasure na military workforce.
kama hizi ndo sababu za utumwa arabuni,napata shaka na biashara ya utumwa kwenda bara arabu
Sexual pleasure na military workforce.
Napingana na wewe kidogo mkuu.. Mwarabu alihusika sana tu.. Hasa pwani ya mashariki.. Yeye alikuwa akipewa order ya hiyo bidhaa (watumwa).. Alikuwa akiwafuatia ndani kabisa akichonganisha makabila wakipigana anachukua mateka.. Ie Tip Tip.. Sema tu wenyewe waarabu hawakuwa na matumizi na hao watumwa maana kwao jangwa.. Watumwa alihitajika kufanya kazi ngumu kwenye mashamba ya masetlers huko America ya kusini hasa Brazil na America ya kaskazini hasa USA!Hizi picha leo zimewaaibisha watu wanaodhani waliotesa watumwa ni waarabu. Tumeona wazungu ndio vinara wa kutesa na kutumikisha. Mwarabu alibeba bidhaa kisha akawauzia wazungu. Na wazungu wakawatesa na kuwatumikisha watumwa. Na waliobisha au kuleta ujuaji walinyongwa na wazungu na si kunyongwa na waarabu......!!!
Kwanza lazima ajua kuwa kwa wakati huo kulikuwa na primitive societies tu ziki base zaidi kwenye ukabila.. Hivyo ilikuwa ni rahisi sana kuchonganishwa Kati ya kabila na kabila.. Kwa hiyo kusema tulikuwa wengi haileti maana sana maana ilikuwa sio nchi kama zilivyo Sasa bali ni vikingdom tu!Mkuu kumbuka hawa watu walitumia bunduki wakati babu zetu walikuwa na upinde na mishale pia wakishambuliwa walikimbia kupeleka ujumbe kwao na walikuja na nguvu mpya. Kumbuka kwa wakati ule hawa jamaa walikuwa na technics za kina Alexander the Great
Najaribu kufikiria huyo mtoto aliyekanyagwa na miguu angeweza kuwa mwanangu.Hawa watu walikuwa wagonjwa nadhani.unapata raha gani kumdhalilisha mtotoHii inasikitisha sana.,
Afu leo hii tuna watukuza kama miungu.
Mbona unatawaliwa hadi sasa,na hata kipindi babu zetu wanatawaliwa hawakujua kama wanatawaliwa kama unavyoona wewe kwamba hutawaliwi hivi sasa..!!Inatakiwa tutawaliwe tena ili tupate akili za kutosha, waarabu walikuwa wanawahasi na kuwaua waafrika ndiyo maana ni wachache uarabuni
Ni kweli ila pia waarabu walikuwa wanawahasi watu weusi na mwisho wa siku waliwaua kwa hiyo hawakuweza kupata kizazi kwenye mataifa ya uarabuniSiyo kwa asilimia ndogo, tangu lini mfanyabiashara akabaki na bidhaa dukani? Labda imefikia expiry date...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
What I know ni kwamba waarabu walikuwa wakiwauza watumwa kwenda kwenye yenye demand za cheap kama plantations(Vitu ambavyo uarabuni havipo)
Weka pichaNi kweli ila pia waarabu walikuwa wanawahasi watu weusi na mwisho wa siku waliwaua kwa hiyo hawakuweza kupata kizazi kwenye mataifa ya uarabuni
Ahsante, wazungu katika hii dunia walivunja mipaka tena mikubwa, lakini cha kushangaza hayo walio fanya wazungu sasa hivi ndio Wanavyo fanya viongozi Waafrika huku kuwadhalilisha wananchi wao kama slave, angalia nchi zinazo endeshwa ki dictator, mfano Zimbabwe, na sasa yanakuja Tanzania. Huko Egypt mpka leo ubaguzi, Sudan, Somalia, Morocco South Africa.. Bado tunaishi kama watumwaAisee ndugu [HASHTAG]#GHIBUU[/HASHTAG]
Mimi naongeza nyama tuuuView attachment 521429 zoo hiyo iliyopo belgium. Inakasirisha saana.
View attachment 521431 zoo nyengine hiyo.
Umeona eeh, ume pointi [emoji117]Leo tunaishi kwa furaha kwa kuwa wao walikubali kuteswa, kupigwa na kuuliwa ili kujenga nguzo kwa taifa la sasa...naipendaga hii quotation "i would rather be dead kneeling than stand while being treated as a slave"
Kwahiyo ww unasifia babu yake babu yako kuuzwa??Hizi picha leo zimewaaibisha watu wanaodhani waliotesa watumwa ni waarabu. Tumeona wazungu ndio vinara wa kutesa na kutumikisha. Mwarabu alibeba bidhaa kisha akawauzia wazungu. Na wazungu wakawatesa na kuwatumikisha watumwa. Na waliobisha au kuleta ujuaji walinyongwa na wazungu na si kunyongwa na waarabu......!!!
Hawa watu ni wangese sana mkuu, hawafai wana roho mbaya hata shetani anawaogopa.Bado kuna watu wanaabudu hao hao wazungu kama miungu yao na wako humu ndani, tukisema wanatuibia, kuna mabwege nyumbu bado wanaona wazungu ndio kila kitu kwao!!
Utajisumbua bure chief.....wenyewe wanadai kuwa hawana kosa maana wao walikuja sokoni kununua bidhaa,kwahiyo wa kulaumiwa ni watawala na wafanyabiashara wa kiafrika waliokuwa wanauza hao watumwa kama bidhaa.Nimejikuta napata wazo la kuwafungulia watwana mashtaka kwenye mahakama za ya kimataifa
Au wakiona hatumiki wanamteketezaSiyo kwa asilimia ndogo, tangu lini mfanyabiashara akabaki na bidhaa dukani? Labda imefikia expiry date...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
What I know ni kwamba waarabu walikuwa wakiwauza watumwa kwenda kwenye yenye demand za cheap kama plantations(Vitu ambavyo uarabuni havipo)