Utumwa ulifanywa na Wazungu

Utumwa ulifanywa na Wazungu

Ambao waliwatumikisha kwenye mashamba ya miwa Reunion.... Hio ni kwa afrika mashariki.
 
Msiongopeane hapa! Dini zote (islam+christian) zilikubaliana na utumwa! Rejea vitabu pamoja na aidha maisha or story za mitume..! They just like to play with your mind.!
 
Afrika magharibi kuna the great triangular trade. Wazungu wanaleta kwa Machifu wa kiafrika shanga tumbaku na bunduki kwa machifu wa kiafrika wao wanachukua dhahabu na watumwa. Dhahabu wanarudisha Ulaya watumwa wanapeleka America. America wanachukua bidhaa za mashambani wanapeleka Ulaya.
 
Dah inasikitisha sana Hawa jamaaa wanaroho mbaya sana
 
Usiangalie utumwa kwa miwani ya Dini. Binadamu sio bidhaa muuzaji na mtesaji wote Lao moja. Waarabu waliua na kuhasi wanaume ndiyo maana watu weusi hawapo huko, tunaona hadi leo jinsi weusi wanavyonyanyaswa uarabuni kuliko hata uzunguni.

Nchi kama Argentina weusi ni almost hawapo hata wakusingiziwa umewahi kujiuliza kwanini? Mbona nchi zote za karibu na Argentina Zina weusi maelfu kwa malaki iweje Argentina?
Hivi kwann Argentina haina weusi najiulizaga Mara nyingi sana
 
Ila babu zetu nao walikua wanazingua sana ni picha kama hizi huwa zinafanya nitilie Shaka uwezo wa akili wa mtu mweusi. Hapo kuna picha mizungu imebebwa na weusi wengi walishindwa kuwabwaga chini na kuwaua kweli! Unakuta mzungu mmoja au wawili wanaenda kwenye kijiji na kutawala kijiji kizima na weusi bado wakakubali. Mzungu mmoja anatembea huku amezingirwa na weusi kibao kama walinzi na makuli wake bila ya kumfanya kitu huyo mzungu au kumuua kabisa. Smh
Hujui historia, soma How the whites colonised Africans. Utaelewa zaidi
 
Hivi kwann Argentina haina weusi najiulizaga Mara nyingi sana
Msome huyu bwana kaeleza vizuri hapa

Argentina ni taifa pekee katika Amerika ya Kusini lililo na weusi wachache sana. Hawa jamaa ingawa tunawashabikia sana kwenye mpira lakini hawakuwa na huruma kwa mtu mweusi. Hawa walikuwa na sera maalum ya kuondoa weusi katika nchi yao.
Kwa mujibu wa maelezo ya kihistoria, Waafrika wa kwanza kufika katika Argentina katika karne ya 16 mwishoni mwa katika eneo sasa linaitwa Rio de la Plata, ambayo ni pamoja Buenos Aires. Kufikia karne ya 18 na mapema karne ya 19, Waafrika weusi walikuwa wengi katika maeneo ya Argentina, takwimu zinaonyesha waliweza kufikia hadi nusu ya idadi ya watu katika baadhi ya mikoa, ikiwa ni pamoja Santiago del Estero, Catamarca, Salta na Córdoba.
Kama nilivyoeleza hapo mwazo kulikuwa na sera maalum za kutokomeza mtu mweusi. Kwanza walihakikisha katika vita watu weusi wanakuwa mstari wa mbele huku wakiwapatia vifaa duni vya kupigana nahivyo ni wachache sana waliokuwa wanasalimika vitani. Mfano mzuri ni vita ya Argentina na Paraguay ya 1865-1870.
Pia kulikuwa na wanawake wachache sana wenye asili ya kiafrika na ambaowanaolewa na wazungu hivyo wale jamaa zangu weusi wakaona bora kusepa na kwenda Brazil na Uruguay ambako walikuwa kwa kiasi fulani walionyesha ukarimu kwao.
Kama hilo halitoshi mtawala wa Agentina anaeitwa Domingo Faustino Sarmiento (1868 hadi 1874) alianzisha sera ya mauaji ya halaiki kisiri kupitia sera za ukandamizaji sana (ikiwa ni pamoja uwezekano wa kuajiri Waafrika kwa kulazimishwa katika jeshi na kwa kulazimisha weusi kubaki katika vitongoji ambapo kulikuwa na magonjwa mengi na kukosekana kwa huduma za afya za kutosha)
Hii taarifa ni kwa Hisani ya:
Blackout: How Argentina ‘Eliminated’ Africans From Its History And Conscience
 
mandera said."poverty it's not an acident like slavery and apertheid poverty can be removed by the actions of human beings" HIVYO IYO ILIKUWA AJARI TUU MSAAU YALIYO PITA
 
mandera said."poverty it's not an acident like slavery and apertheid poverty can be removed by the actions of human beings" HIVYO IYO ILIKUWA AJARI TUU MSAAU YALIYO PITA
Kwa kuwa wametajwa wazungu unataka tusahau? Maana ingekuwa ni waarabu pekee usingesema hivyo...
 
mbabe alikuwa mwingereza wengine wooote watumwa wenzetu ukioneshwa picha utashangaa
 
Watumwa waliokwenda Arabuni wanaume walihasiwa ili wasiendeleze uzao ndiyo sababu kubwa ta kutoona weusi wengi wenye asili ya utumwa Arabuni. Marekani watumwa waliachwa wazaliane pamoja na manyanyaso lakini hawakuhasiwa ndiyo maana tunawaona niger mpaka leo

My dada unapoongea unaleta na evidence ka ni kweli walihasiwa. Kwanza uislamu unakataza hivi vi2. Iweje wakiuke??????
 
Back
Top Bottom