Mchango wa TEC wa kupinga kwa shinikizo la kidini?Mkataba umesainiwa na hizo zingine ni porojo tu za kujaribu kutatuta umaarufu. Upotoshaji wa kijinga ulikuwepo sana kuhusu huu mkataba na propoganda za kidini.
Mwisho wake mkataba umesainiwa na Rais Samia aliwashukuru wote walioshiriki kwenye kutoa maoni yao.
Kujaribu kutafuta umaarufu sasa ni kupoteza muda na ku play damage limitation.
 
Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

Tuliofuatilia tunajua kuwa pale ukumbini alikuwepo Askofu Liberatus Sangu kama mwakilishi wa TEC. Wahusika mkaanza kumtumia Mrisho Mpoto kurusha vijembe. Badala ya kughani au kuimba kama ilivyotarajiwa, Mpoto alitoa hotuba na kutamba alivyotaka.

Akadai kuwa kwakuwa mikataba sasa iko vizuri 'hata waliokuwa wanapinga wamehudhuria pale na watakula nao chakula'. Kila mmoja anajua kuwa waliotoa Tamko ni TEC. Na jana walikuwepo pale. Kwanini uwepo wao uonekane ni kuunga mkono mikataba iliyosainiwa jana?

Kiukweli, vijembe vya Mpoto na wengineo vilimkosesha amani na utulivu Askofu Sangu. Akajiweka 'busy' na kuchukua 'notes' huku akishindwa hata kuwatazama wazungumzaji au majirani zake. Askofu Sangu alikuwa kwenye wakati mgumu. Hakukuwa na haja ya mambo yale.

Kama maoni ya watanzania yamezingatiwa, tuonesheni mikataba iliyosainiwa jana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mpwapwa, Dodoma)
Alitumwa na Mwenyekiti wa CCM
 
Kama IGA ya kikanjanja inayolinda hiyo mikataba ya utekelezaji ipo palepale, sioni la kujivunia.....hapo ni mwendelezo wa kupigwa changa la macho, mnakuja kushtuka mnatakiwa kulipa mabilioni ya kuvunja mkataba kama hii bil. 75 iliyolipwa hapa majuzi na hapo tayari walamba asali wanakuwa wameshachukua chao mapema.​
 
Mrisho Mpoto n mtanzania pekee ambaye amepata ajira isiyo na mbambamba, yaani unaitwa toka nyumbani, wengi wetu tunsmuona mhe. Mrisho Mpoto akiongozana na waheshimiwa viongozi wa nchi lakini hatujui alivyopata ajira serikalini kwani kazi yake hatuielewi.
Siku ya jana Jumapili tarehe 22/10/2023 mhe. Mrisho Mpoto hatujui ni kwa mamlaka yake mwenyewe au kwa maelekezo aliamua kuwatolea uvivu maaskofu ea TEC baada ya kuingia kwenye anga zao waheshimiwa, mhe. Mrisho Mpoto akawapa za uso kuwa mlipinga lakini leo mmekuja na tutakula biriani la uarabuni pamoja, mhe. Mrisho Mpoto Mungu akubariki kwa kuwakaribisha biriani maaskofu wa TEC ambao sijui kama wanalijua biriani, pia Mungu akusimamie kwenye kazi yako uendelee kuwa na ujasiri huohuo.
. Tangu lini mrisho mpoto akawa na akili..
. Asilimia 90% wanao tembea peku ni vichaa, ukiachana na wale wa kwenye nyumba za makuti.
 
Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

Tuliofuatilia tunajua kuwa pale ukumbini alikuwepo Askofu Liberatus Sangu kama mwakilishi wa TEC. Wahusika mkaanza kumtumia Mrisho Mpoto kurusha vijembe. Badala ya kughani au kuimba kama ilivyotarajiwa, Mpoto alitoa hotuba na kutamba alivyotaka.

Akadai kuwa kwakuwa mikataba sasa iko vizuri 'hata waliokuwa wanapinga wamehudhuria pale na watakula nao chakula'. Kila mmoja anajua kuwa waliotoa Tamko ni TEC. Na jana walikuwepo pale. Kwanini uwepo wao uonekane ni kuunga mkono mikataba iliyosainiwa jana?

Kiukweli, vijembe vya Mpoto na wengineo vilimkosesha amani na utulivu Askofu Sangu. Akajiweka 'busy' na kuchukua 'notes' huku akishindwa hata kuwatazama wazungumzaji au majirani zake. Askofu Sangu alikuwa kwenye wakati mgumu. Hakukuwa na haja ya mambo yale.

Kama maoni ya watanzania yamezingatiwa, tuonesheni mikataba iliyosainiwa jana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mpwapwa, Dodoma)
ni ujinga wa huyo askofu kupata kichefuchefu alipasea atulie maana hayo ndio mafundisho yao
 
Walistahiki wapewe za uso, siyo vijembe tu, jionee unafiki wao:

Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

Tuliofuatilia tunajua kuwa pale ukumbini alikuwepo Askofu Liberatus Sangu kama mwakilishi wa TEC. Wahusika mkaanza kumtumia Mrisho Mpoto kurusha vijembe. Badala ya kughani au kuimba kama ilivyotarajiwa, Mpoto alitoa hotuba na kutamba alivyotaka.

Akadai kuwa kwakuwa mikataba sasa iko vizuri 'hata waliokuwa wanapinga wamehudhuria pale na watakula nao chakula'. Kila mmoja anajua kuwa waliotoa Tamko ni TEC. Na jana walikuwepo pale. Kwanini uwepo wao uonekane ni kuunga mkono mikataba iliyosainiwa jana?

Kiukweli, vijembe vya Mpoto na wengineo vilimkosesha amani na utulivu Askofu Sangu. Akajiweka 'busy' na kuchukua 'notes' huku akishindwa hata kuwatazama wazungumzaji au majirani zake. Askofu Sangu alikuwa kwenye wakati mgumu. Hakukuwa na haja ya mambo yale.

Kama maoni ya watanzania yamezingatiwa, tuonesheni mikataba iliyosainiwa jana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mpwapwa, Dodoma)
Mpoto amechanganyikiwa,alikuwa havai viatu sasa anavaa viatu.Ameshakiuka masharti ya maganga wake,kwaiyo tumpuuze tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Pongezi nyingi kwa TEC tumeona juhudi kubwa mlizofanya mpaka kukamilisha vyema suala nyeti la bandari
Tusubirini kauli ya TEC, naamini wataongea kitu, kushuhudia utiaji saini haimahanishi kuwa TEC wameridhia 100% mara nyingine hukudhuria hafla kama hizi huwa ni 'protocol' huwezi kualikwa ukakataa, itakuwa kuigomea serikali wakati bado una maslahi mengi kwao!
 
Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).

Tuliofuatilia tunajua kuwa pale ukumbini alikuwepo Askofu Liberatus Sangu kama mwakilishi wa TEC. Wahusika mkaanza kumtumia Mrisho Mpoto kurusha vijembe. Badala ya kughani au kuimba kama ilivyotarajiwa, Mpoto alitoa hotuba na kutamba alivyotaka.

Akadai kuwa kwakuwa mikataba sasa iko vizuri 'hata waliokuwa wanapinga wamehudhuria pale na watakula nao chakula'. Kila mmoja anajua kuwa waliotoa Tamko ni TEC. Na jana walikuwepo pale. Kwanini uwepo wao uonekane ni kuunga mkono mikataba iliyosainiwa jana?

Kiukweli, vijembe vya Mpoto na wengineo vilimkosesha amani na utulivu Askofu Sangu. Akajiweka 'busy' na kuchukua 'notes' huku akishindwa hata kuwatazama wazungumzaji au majirani zake. Askofu Sangu alikuwa kwenye wakati mgumu. Hakukuwa na haja ya mambo yale.

Kama maoni ya watanzania yamezingatiwa, tuonesheni mikataba iliyosainiwa jana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Mpwapwa, Dodoma)
Hivi yule aliyevujisha IGA yuko wapi?inabidi ifanyike jitihada na hii mikataba ivujishwe tuone maoni waliyozingatia.
Usikute walichosaini jana na wanachokwenda kutekeleza ni vitu viwili tofauti.
Nilimuona jana high table yule Mstaafu aliyegoma kustaafu maaana mambo ya Bandari ndiyo kipaombele chake.
Mimi siwaamini CCM na serikali yake mpaka watakapo peleka mikataba Bungeni Ili iwe public!

Back
Top Bottom