Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

Hujui siasa wewe. Nakusihi tulia.

Ila wacha nikufunde kidogo. Kisiasa Polepole kapotezwa, sasa hawezi tena endelea na shule ya uongozi. Wala hawezi tena kukosoa.

Mimi ni kabla ya Uhuru kwa taarifa yako na ninaijua vizuri hawa wanamuiga Nyerere.

Akiona mtu ni tishio au anamuweka kizuizini au anamtupa nje ya nchi mpaka anastaafu

Na mimi nikupe darsa kidogo kila unalosoma humu usilichukulie serious sana mengine ni jokes unacheka tu
 
Hii tanzania hii aiseee.
Yaani ni wale wale unatoka ofisi hii unaingia ile, hakuna wapya hakuna mapya.

Unakunya huku wanazoa unapelekwa pale ukanye teena.

Sasa kweli leo hii.
Mangu.
Polepole
Vuai.

Dah
 
Utii kwa jamhuri kwa comrade polepole hauna shaka ila misingi yake ya heshima na utu na uzalendo kwa nchi yake na utii wa dhamira yake njema katika misimamo binafsi kuchanja chanjo ya corona, kufanyiwa fedhedha na dharau za kimkakati na za kusudi na za kihuni ni mwiko kwake.

Asiyemfuasi wa maswala ya chanjo analazimikaje kuchanja?

Waliomkomoa kwa fikra zao na upupu wao hawatashinda kamwe.

Malawi haendi na msimamo wa kutokuchanja haubadiliki.

Furahisha Jamhuri na mamlaka kisha tumia haki ya kikatiba ya uhuru na haki ya kujiuzulu simple and clear.

Unyamaunyamani kwa mnyamani wanakaa mbweha.

Ofside ya Berkane marinda jangwani.
 
Kumbe na wewe unatumia utumbo kufikiri.
Weka maslahi ya mbunge na maslahi ya balozi.
Acha maneno mengi.
Kumbe kweli jina lako si kejeli linasadifu uhalisia wako. Kwamba hauoni touti iliyopo duu!

Sasa ona tofauti utakayo "imiss" na itakayokuumiza wewe kama mfuasi wa Polepole...
 
Hiyo ndiyo ilikuwa sababu. Wakati ule kila DG su CEO akipata mshahara huo, Mkuu alikuwa anakasirika sana na akaifyeka yote. " kwa kazi gani anayofanya?" Aliuliza. As such Nehemiah is very smart upstairs.
Lakini kama shirika linajiendesha Kwa faida,acha watu walipwe vizuri tu,sioni sababu ya kubaniana na mtu akiwa na maisha ya choka mbaya ndiyo anaonekana mzalendo
 
Huyu Mwenezi Mstaafu Itakuwa Vp Akifika Malawi Embassy
Atalalia Kitanda Kikubwa Sana
Atagawa Ile Futi Mbili Ya Dodoma
 
Kwa b
Nehemia Mchechu NHC tena? Ni sababu zipi zilipelekea kutumbuliwa? Hazikuwa genuine?Hivi hakuna watanzania wengine?
Kwa bahati mbaya sana mamlaka ya uteuzi haijaleta sababu za kwa nini jamaa alitolewa na sasa imekuwaje karudishwa
 
Back
Top Bottom