Tanzania Association of Oil Marketing Companies, TAOMAC na SOLUTIONSTAG wampongeza Mh. January Makamba kwa kuteuliwa na kuapishwa kuwa waziri wa Nishati Tanzania.



 
Kuna wakati Maisha hayaendi Kama unavyofikiri wewe.Huyo Ridhiwani unayemwita kichwa kibovu unajua ndiye aliyefanikisha kujengwa kwa kiwanda kikubwa kabisa cha tiles nchini cha Twayford ambacho kimeleta ahueni ya bei ya tiles.Tusiishi kwa kuchukua watu bila sababu
 
Tujiandae na kelele za majenereta. Mungu wa mbinguni asaidie taifa hili.
Kwani jenereta hazikuwepo.Mbona umeme umekuwa ukikatika Sana kwa miaka mitano iliyopita na kubatizwa jina la Matengenezo,mara kunguru wamechezesha waya😀😀😀
 
msamee tu hyo ndug maisha ya memes anakariri kuambiwa mtu fulan mbaya
 
Mleta mada mbona mimi siteuliwi wala hata kunifikiria hata kidogo mweee!!!.... na kazi naweza hizi?? niliwahi kuwa Monitor miaka kibao! waziri vyuo vikuu mbali mbali! Kampala kikiwa kimojawapo ebu muelezee Mama bana!! anifikirie!!

najua hata weye Mama unapita pita humu! Nistue hapo in box nije tufanye kazi, sababu hizi kazi naziota sana, mpaka naogopa kulala!! sijui kwa nini.............
 
Daaaa! mama usipi kimya bana nakumbushia kanafasi ka kutibu hapo ikulu HOspital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…