Tanzania Association of Oil Marketing Companies, TAOMAC na SOLUTIONSTAG wampongeza Mh. January Makamba kwa kuteuliwa na kuapishwa kuwa waziri wa Nishati Tanzania.

1631716283124.jpeg

1631716312706.jpeg
 
Kuwaacha Mwigulu Nchemba, Mzee George Mkuchika, Innocent Bashungwa na Paramagamba Kabudi ni dhambi isiyostahiki kusameheka. Kuwateua watu kama Makamba, Feleshi na Kijaji ni kujuana tu. Sitashangaa kusikia kichwa kibovu Ridhwan Kiwete akiteuliwa kuula ili kuendeleza ukoo tawala nyuma ya pazia.
Kuna wakati Maisha hayaendi Kama unavyofikiri wewe.Huyo Ridhiwani unayemwita kichwa kibovu unajua ndiye aliyefanikisha kujengwa kwa kiwanda kikubwa kabisa cha tiles nchini cha Twayford ambacho kimeleta ahueni ya bei ya tiles.Tusiishi kwa kuchukua watu bila sababu
 
Tujiandae na kelele za majenereta. Mungu wa mbinguni asaidie taifa hili.
Kwani jenereta hazikuwepo.Mbona umeme umekuwa ukikatika Sana kwa miaka mitano iliyopita na kubatizwa jina la Matengenezo,mara kunguru wamechezesha waya😀😀😀
 
Kuna wakati Maisha hayaendi Kama unavyofikiri wewe.Huyo Ridhiwani unayemwita kichwa kibovu unajua ndiye aliyefanikisha kujengwa kwa kiwanda kikubwa kabisa cha tiles nchini cha Twayford ambacho kimeleta ahueni ya bei ya tiles.Tusiishi kwa kuchukua watu bila sababu
msamee tu hyo ndug maisha ya memes anakariri kuambiwa mtu fulan mbaya
 
Mleta mada mbona mimi siteuliwi wala hata kunifikiria hata kidogo mweee!!!.... na kazi naweza hizi?? niliwahi kuwa Monitor miaka kibao! waziri vyuo vikuu mbali mbali! Kampala kikiwa kimojawapo ebu muelezee Mama bana!! anifikirie!!

najua hata weye Mama unapita pita humu! Nistue hapo in box nije tufanye kazi, sababu hizi kazi naziota sana, mpaka naogopa kulala!! sijui kwa nini.............
 
Daaaa! mama usipi kimya bana nakumbushia kanafasi ka kutibu hapo ikulu HOspital
 
44 Reactions
Reply
Back
Top Bottom