sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,081
- 2,308
Nani huyo kafariki mkuu?IJP Yupo Busy Kaenda Mara kuhudhuria Msiba wa Tajiri kijana wa Mwanza.
Tajiri gani tena huyo?! Isijekuwa bosi Kitana.IJP Yupo Busy Kaenda Mara kuhudhuria Msiba wa Tajiri kijana wa Mwanza.
Alitaka kufanya mchezo kwa mkwe wa mteuaji siyo?Aweso kamsagia kunguni,kufanya kazi na Aweso inabidi uwe makini sana.
zinapikwa kwa ridhaa yake, hawezi kumtenguaMtengue uyo i.g.p anaepika kesi na kubambikizia watu.. ndio tutajua kwel unapiga kazi
kafanyaje binti jamani , mrembo. Wa dini yngu tena imekuwaje. Nshomile kutoka wapi? Katoro?Eng. Nadhifa S. Kemikimba
Engineer Nadhifa Sadiki Kemikimba holds a Master of Science Degree in Water Management specialised on Water Quality Management from the UNESCO-IHE in Delft, the Netherlands (2006) and Advanced Diploma in Environmental Engineering from Ardhi Institute Dar es Salaam – 1994 (Currently known as Ardhi University).
N.B
MAJI YASISUBIRI WIZARA ILIYOPO DODOMA WALA MWEKEZAJI TOKA DUBAI
Masuala ya maji yanatakiwa kugatuliwa siyo kusimamiwa kutoka Dodoma kuwa serikali kuu ihakikishe upatikanaji maji Mikindani Mtwara au Tarime vijijini, Heru Juu Kasulu.
Masuala hayo yatekelezwe na mkurugenzi wa Halmashauri za wilaya ili kuondoa kero ya huduma za uhakika wa maji kona zote za nchi hii kubwa badala ya kusubiri waziri wa maji akifike Namanyere kijiji cha Nkasi Rukwa kutatua shida ya maji.
Tujiulize mababu zetu visima vya maji walisubiri watu wa mbali au waliamua wenyewe kuchimba visima. Hivyo wakuu wa wilaya na halmashauri wawe wanabanwa kutimiza azma ya kuwatua ndoo maji kina mama katika maeneo yao kwa kutumia fedha za kodi wanazokusanya au kugawiwa na serikali kuu kufikisha maji kwa wananchi.
Hili nakuunga mkono. Yule jamaa anadumu Kwa umbea.Aweso kamsagia kunguni,kufanya kazi na Aweso inabidi uwe makini sana.
Kwamba wewe ndio unajikuuta unajuaa na info za wikipedia. Umegoogle spinning bas hatulali. Wewe yna faili lake? Mpaka ukajua nini kilijiri.Anafanya spinning ya kitoto haina vibe na haiezi enda viral, ama kweli wa mpito ana ubwete embe chini ya mpapai haiendi mbali
Chacha aliyekua anamiliki sheli za petroluxTajiri gani tena huyo?! Isijekuwa bosi Kitana.
Petrolux sio za Vedastus Matayo?Chacha aliyekua anamiliki sheli za petrolux
Huyu kijana ndo alikua front ... zile shell zina syndicate kubwaPetrolux sio za Vedastus Matayo?
Wizara ilijaa Ijumaa matokeo yake ndiyo haya👋Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
Duuu. Ikifikia mpaka sa100 anakutengua basi wewe utakuwa lofa kweli. Sa100 Hana muda mtu piga Dili zako tu na ule kwa urefu wa kamba yakoRais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.