Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

Utawala wa Wahispania America ya Kusini na Mexico ulikuwa wa ki settler zaidi tofauti na sehemu nyingine walizotawala.
Chukulia mfano wa ukoloni wa Zimbabwe na Tanzania.Zaidi ni kwamba South America na Mexico hawakuondoka kabisa baada ya hayo mataifa kujipatia uhuru,walijetenga tu na Hispania.
 
Brazil haikutawaliwa na Wahispaniola

Brazil imetawaliwa na Wareno ila kifupi Amerika ya Kati na kusini ukiacha Brazil na Suriname basi Amerika ya Kati na kusini kumetawaliwa na Wahispaniola
Ndio maana hao jamaa wanapenda starehe kama walivyo wahispaniola wenyewe
 
... Sure! Kama alivyonunua Alaska (1,723,337 sq. km. - almost twice of Tanzania) kutoka Russia (inasemekana by then was US$ 7,000,000). Pia Trump recently alianzisha mchakato wa kuinunua Greenland kutoka Denmark. Hawa jamaa kwa kununua ardhi wako vizuri.
Wanaisubiri nni kununua Tanzania. Ccm wameshashindwa kuendesha nchi
 
... of course na Mexico, Texas, na New Mexico (USA).
Hivi wamexico kabla ya kutawaliwa na wahispaniora walikuwa na utamaduni gani?lugha gani?
maana naona kila kitu chao kina mizizi ya spain
 
... na lugha rasmi ya Brazil ni Kireno; labda ulitaka kumaanisha Argentina; hawa ndio walitawaliwa na Spain na lugha yao ni "Argentine Spanish".
Sielewi mtu akisema wahispania au wareno walitawala latin america, wakati hadi leo wahispania na wareno wapo huko huko na wanaendelea kutawala. Walitoka Ulaya wakahamia America kati na kusini na hadi leo wapo huko wanaongoza hao hao . Africa waliondoka wakawaachia utawala waafrica
 
Sielewi mtu akisema wahispania au wareno walitawala latin america, wakati hadi leo wahispania na wareno wapo huko huko na wanaendelea kutawala. Walitoka Ulaya wakahamia America kati na kusini na hadi leo wapo huko wanaongoza hao hao . Africa waliondoka wakawaachia utawala waafrica
... nchi hizo za latin america zina tarehe zao za kupata uhuru; so inamaanisha utawala wa wareno au wahispania uliishia siku ya uhuru. In other words, maamuzi ya nchi hizo hayaamuliwi Madrid au Lisbon kama ilivyokuwa kabla ya uhuru; yanaamuliwa na nchi hizo wenyewe. Hatuzungumzii rangi za watawala.
 
Back
Top Bottom