Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Uimara wa penzi ndio kitu kinachowatatiza wengi kwenye uhusiano wa mapenzi.
Jambo hili limewafanya wengi kuishi kwa mashaka wakishindwa kujua nini hatima ya penzi alilonalo.wapo baadhi ya watu waliopo kwenye ndoa wanaothubutu kuwaacha wapenzi wao kwa sababu ya mapenzi mapya.

HIVI PENZI IMARA NI PESA,UPENDO WA DHATI AU MVUTO?
 
Pesa weweeee.... Kuna mapenzi gani kama hakuna pesa? Mtafanyaje mapenzi na njaa?
Hayo ya mvuto yalikuwepo zamani wakati wa ujamaa na kujitegemea tulipoambiwa kuwa pesa sio msingi wa maendeleo
 
Inategemea mpo wapi. Mf. Chumbani shughuli, Shopping ankara, kwa washkaji mvuto...
 
1.upendo
2.pesa

namba 2. itakuwa 1. kama hamna hofu ya Mungu ndani yenu
 
jamani hv hela, mvuto, upendo kwangu naona ni tudogo sana.... i think "mambo yetu ndio" mpango mzima kitu ikipigwa effectively aisee hata nje hamtaki kutoka............ so kama ni ujenzi hi kitu ni kiwanja hayo mengine ndio msingi, mabati etc ni hayo!
 
Maswali mengine bwana? mbona yote hayo matatu ndo majibu?
 
jamani hv hela, mvuto, upendo kwangu naona ni tudogo sana.... i think "mambo yetu ndio" mpango mzima kitu ikipigwa effectively aisee hata nje hamtaki kutoka............ so kama ni ujenzi hi kitu ni kiwanja hayo mengine ndio msingi, mabati etc ni hayo!

Kwa wewe kweli..hata Avatar yako inadhihirisha...
 
Yooote yana nafasi yake katika Mapenzi.... (walau that is what I believe)

"MVUTO"

Hiki mara nyingi saana ndio hatua ya kwanza kabisa kwa penzi kuweza ibuka na hatimae kukua.... Ni wachache saana ambao hua na penzi la dhati kwa kuonana tu kwa mara nya kwanza, Kwa kweli ni ngumu! Lazima vitu kama mvuto ndio kikufanye um-recognise the person in question. Anaweza asiwe mzuri but akawa na mvuto ambao unayakamata macho na akili yako kutaka tu uendelee kuangalia. Hilo ndio humfanya mwanaume mara nyingi amfuate mwanamke (na ndio maana kila mmoja huvutiwa na wa aina yake i.e butt, booms, legs etc) na hicho ndicho humfanya mwanamke kuvutiwa kwa mara ya kwanza (hasa kama muonekano wa mwanaume unatoa hints ya the value yake i.e ana uwezo ama lah!)

"PESA"

Mie naamini kua Pesa ni muhimu saana katika kujenga mapenzi... Sio lazima uwe nazo hadi kwenye mto, BUT atleast uwe na pesa ya ku-sustain maisha yako. Kwamba waweza kula kuvaa na mahitaji ya hapa na pale. Mara nyingi saana Pesa katika penzi ina nguvu saana kuweza lijenga mpaka likakomaa na kufika mahala pake. Thou kuna tofauti kubwa saana kwa ile ya pesa zipo upande gani zaidi? (Kwa mwanaume ama mwanamke?) Naomba tuache hio topic na tuzungumzie tu pesa in general.... Ukiwa na pesa mwenzio atapopata dharula yoyote ile you will be there for her/him. Ukiwa na pesa daima utahakikisha mwenzi wako yupo safe, mahala anaishi, yupo wapi umchukue, ki/vitu gani vya msingi ahitaji na the like.... With money ni rahisi kumuonesha mwenzi wako to what extent you can go.... kwa ajili yake. For other wise zinabaki porojo tu! Na ndio maana as much as wasema mapenzi hayachagui... It is better sometimes kua na mtu wa level yako....

"UPENDO"

Upendo sasa ndio huja in time... baada ya mvuto... baada ya pesa kujenga nafasi yake (take note: ninaposema pesa simaanaishi kua mtu mwenye uwezo mkubwa, bali nina maana mtu ambae anaweza kukusimamia katika mambo ya kawaida); Upendo ni wa ajabu sana na hauna ADABU. Upendo waweza kua wa mwisho katika process ya Mapenzi but hilo ndo hu-overrun umuhimu wa mambo yooote hayo in time.... Na hatimae huota mizizi na kuweka Mapenzi, Mapenzi ya dhati ama kawaida it depends.... Na huu huu upendo mtu aweza poteza mvuto na pesa lakini bado akaendelea kupenda (thou sio necessarily wakati waoote)

Hivo basi IMO, Yooote ni muhimu - ni entity ambazo kila moja na nafasi yake katika kujenga Mapenzi.

I wish you happy Holidays.
 
Semeni yoooooooooote!!!! Lakini Mambo ni POCHI(FWEZA), tusidanganyane ASHADII!
 
Huna hela hupendwi ni mambo ya kawaida .wanaume tafuteni shekeli.
 
Mi nadhani shamba linatengeneza penzi kuliko vyote.

Mwisho wa reli ni pesa na maujanja ndo hujenga penzi. Mvuto ni kwa watoto.
 
Pesa weweeee.... Kuna mapenzi gani kama hakuna pesa? Mtafanyaje mapenzi na njaa?
Hayo ya mvuto yalikuwepo zamani wakati wa ujamaa na kujitegemea tulipoambiwa kuwa pesa sio msingi wa maendeleo
wewe ni mwanamke au mwanaume
 
HAPA UPENDO NDIO SULUHISHO LA YOTE, unaweza kuoa mwanamke mzuri wa sura au mwenye mvuto au mwenye pesa kama hujampenda hauwezi kuona thamani yake. ww angalia watu wana wanawake wazuri kweli lakini wanaacha wake zao wanaenda kutembea na Barmaid/dada poa. Ndio maana Biblia inasema upendo una nguvu kama nguvu ya mauti

mm napita
 
Back
Top Bottom