Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Uimara wa penzi ndio kitu kinachowatatiza wengi kwenye uhusiano wa mapenzi.
Jambo hili limewafanya wengi kuishi kwa mashaka wakishindwa kujua nini hatima ya penzi alilonalo.wapo baadhi ya watu waliopo kwenye ndoa wanaothubutu kuwaacha wapenzi wao kwa sababu ya mapenzi mapya.

HIVI PENZI IMARA NI PESA,UPENDO WA DHATI AU MVUTO?

ni upendo wa dhati....pia kujaliana na kukfarijiana kwa kila hali na mawasiliano ni muhimu sana.....pesa na anasa nyingine sio sana
 
Vyote vina play part yake katika kujenga mahusiano thabiti na imara....ni kama organs which makes up a complete body. Kiungo fulani kinaweza kumiss maisha yakaendelea....ila kuna vilivyomuhimu zaidi kiasi kwamba kutokuwepo kwake kwa weza vuruga kila kitu.
 
Mi naona nyie mnabwabwaja tu.....Kama kweli ni pesa!Kwanini matajiri wanagongewa wake au wapenzi au watoto wao na wanaume wasukuma mikokoteni au walinzi? Kupiga pum****b** ndio mpango mzima,mapenzi ni chumbani sana hayo mengine ni ziada 2......
 
Mapenzi ya kweli hayaletwi na pesa, mvuto ama kitu kingine chochote bali mapenzi ya kweli hutoka kwa Mungu fullstop. Mengine yote si mapenzi bali ni kutamaniana tu.
 
Semeni yoooooooooote!!!! Lakini Mambo ni POCHI(FWEZA), tusidanganyane ASHADII!

No hatudanganyani..... Bila pesa walau ile sustainable mapenzi hushindwa shamiri, Hata yale ambayo huanza hufa tokana na matatizo madogo madogo (hasa yasababishwayo na pesa); Lakini hata hivo mvuto kwanza..... Sio sababu tu unapesa watongoza kila mtu, lazima utatongoza alokuvutia, then pesa itachukua mkondo wake..... Then mapenzi if you are both Lucky....
 
Jamani mapenzi na pesa yanategemeana bila pesa hakuna mapenzi .
 
Wewe labda unaongelea mapenzi ya pesa. yani kupenda pesa hata mimi napenda pesa nani asiye penda pesa.

Kama unaongelea mapenzi ya mtu na mke wake, mbona yapo wala pesa haihusiki hapo.
 
Pesa inasaidia kuendesha/rahisisha maisha. Haihusiani na kupendwa ama kutopendwa kweli, inahusiana na kumteka mtu akubali au akatae kuwa na wewe kwa nia ya kumsaidia kuendesha maisha.
 
Mapenzi bila pesa kweli yapo.... Ila mara nyingi yanaishia ugomvi na chuki endapo hizo pesa hazitakuja in the long run. Sio lazima pesa ndefu... Hapana, lakina pesa ilo sustainable kuweza endeshea maisha.....
 
money is everything,it plays a great role in evry essnc of human life,be it mapenzi or anything
 
Mapenzi bila pesa - kwa tafsiri ya haraka haraka hayaendani. Lakini ki msingi, katika mahusiano mengi ambayo yanadumu muda mrefu watu huangalia mambo mengi - kunahilo swala la hisia zenyewe, upendo, na vile uwezo wa kumudu hayo maisha.

Kama mke na mume, kabla ya ndoa watu wanauliza je mwenzio anajikimu kimaisha -basi kunammoja ndio ambaye mambo yake yanaeleweka - kama wapenzi tu lazima swala la pesa linakuwepo katika mawasiliano na vitu mbalimbali - napo kunammoja anayesimamia mambo hayo. Wale wasio nazo basi wanafanya kubangaiza na kusaidiana wanavyoweza.

Sisemi mapenzi ni pesa, ila maisha sikuhizi yanahitaji pesa - hata kama ni chumba cha elfu kumi kinalipiwa. hata meseji inalipiwa
 
hapo umenena ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom