Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Wewe labda unaongelea mapenzi ya pesa. yani kupenda pesa hata mimi napenda pesa nani asiye penda pesa.

Kama unaongelea mapenzi ya mtu na mke wake, mbona yapo wala pesa haihusiki hapo.

Mh! Point yako kama unasema toka moyoni,basi good!
 
siku umeishiwa hakuna amani wala mapenzi ya mme na mke .uje uishiwe pesa hata ya kumnunulia pamposi utaona kama kuna mapenzi
 
m-pesa tigo pesa,aittel money,atm,tembo card,master card...........
 
siku umeishiwa hakuna amani wala mapenzi ya mme na mke .uje uishiwe pesa hata ya kumnunulia pamposi utaona kama kuna mapenzi
Yani watu wengine mnachekesha kweli kweli....hivi kuoa mtu anaoa kama hana uwezo? unapo ongelea kuishiwa pampers huwa zinakwisha kila siku, au mara moja moja ndo anakuwa hana pesa.

Navyo jua hakuna mapenzi yasio kuwa na ugomvi, lakini kusema hakuna mapenzi kama hamna pesa hapo mnachemsha tu hizo ni akili za kijinga.

Pesa sio mapenzi na mapenzi sio pesa.

Afu sidhani kama binadamu kila siku wanapenda, mana kuna siku wanafiwa kuna siku wanakuwa na matatizo...sa nyie mnaongelea mapenzi ya aina gani?

Isije kuwa mnaongelea mapenzi yalsio kuwepo dunaini, na mimi nadhani haya ya dunia.
 
From 19.00H - to 23.00H. Thats the order of the day when you pass along kinondoni rd. or O. Bay Baech.
 
Mh! Point yako kama unasema toka moyoni,basi good!
Inatoka myoni na kutokana na experiance yangu....mapenzi ni mapenzi tu na pesa ni pesa tu.

Sijasikia mapenzi yakawa pesa na pesa zikawa mapenzi leo ndo nasikia.

Matatizo wengine wamerukia kuoa wale wanao penda pesa ndo sababu...walidhani wanapendwa kumbe wanapendwa kwa pesa.
 
You are very smart, anabahati sana alokupata, i feel you.
 
hela inatafutwa mapenzi hayatafutwi yanakuja automatically hata kama uwe hauna hela!
 
u a not serious ndokeji,wangapi wanaanza mapenzi hawana hela then wanakuwa na malengo na wanafanikiwa,hela zinatafutwa ila penzi la kweli ni ngumu kupata!
 
sikatai sawa wapo lakini wachache, tatizo wanawake wamekuwa tegemezi sana na ndiyo maana mapenzi hayawezi kuexist
 
Back
Top Bottom