Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Lol hadi nimecheka kwa nguvu. Bahati mbaya kwangu mimi ndie ambaye mara nyingi huishia kuchunwa. Si kwamba ninazo nyingi sana la hasha nadhani ni moyo wa kupenda vibaya ndio unaoniponza. Nway nitajirekebisha kwa sababu nimeshaona hailipi. 😡

vp mkuu, bado wanakuchuna tuu?
Au umeshajirekebisha? Au umeweka kitu ndani tayari kukwepa kuchunwa?
 
Kila siku nasikia watu tena hata vijana wa dot.com baadhi wakisema pesa sio mapenzi, kama bado upo na mawazo haya au unajisemea tu kujofurahisha au uonekane na watu
Unajidanganyaaa au umepitwa na wakati.
Feel free kuongea ukweli, dunia ya leo, wote mnajua ukweli ni nani atapendwa bila pesa kimapenziii..?
Mm nasema wazi straight, pesa ndio kichocheo kikubwa cha mapenzi dunia ya leo, huu ndio ukweli, na mm naukubali, ila TAMAA YA PESA NDIO MBAYA, na maanisha mwanamke akinipenda sababu nina pesa ni sawa kabisa, ila akianza TAMAA, nataka hiki, kile, twende beach leo, kesho, kesho kutwa, ooohh tule hotelini tuache pika home, yaani huyo mwanamke awe mtu wa kutumia tuuuu hawazi maendeleo kwa pesa zangu au kushauriana kufungua kampuni, kujenga nyumba nk, hapo nitamwagaaa

ILA MAPENZI NI PESA NI UKWELI
 
mapenzi si pesa kwenye gf/bf relation
inapofikia mke na mme pesa inahusu mtakula mawe, nani hataki watoto wasome st nowhere we daladala zinachosha pia na kupanga nako kila siku mwenye nyumba kakukalia kooni nani anataka?

Pesa inahusu, japo si kila kitu kwa mahusiano ndo mana nyumba ndogo na vidumu haviishi.
 
There is no romance without finance. That's just the cold hard truth.
 
mapenzi si pesa kwenye gf/bf relation
inapofikia mke na mme pesa inahusu mtakula mawe, nani hataki watoto wasome st nowhere we daladala zinachosha pia na kupanga nako kila siku mwenye nyumba kakukalia kooni nani anataka?

& funny enough wasichana wangali wadogo wanaotaka kuolewa say 19 yrs wanaambiwa na wazazi na ndugu, huyo kijana hana kitu meaning hana PESA atakutunzaje? Mwache na atakuacha, tuhalalishe hapa openly, DUNIA YA LEO MAPENZI NI PESAAAA...!!!
 
if (Mapenzi==Pesa)
{
uhusiano;
ndoa;
}
else
{
Hakuna mahusiano;
Hakuna ndoa;
}
 
if (Mapenzi==Pesa)
{
uhusiano;
ndoa;
}
else
{
Hakuna mahusiano;
Hakuna ndoa;
}
If (Pesa<>Mapenzi)
Begin
Update Thread SET Mapenzi vs Pesa inategemea na mitizamo na Interest za wahusika
Else
Print Dunia ya sasa ni PESA KWENDA MBELE otherwise unakosa mke!!!
End
 
if (Mapenzi==Pesa)
{
uhusiano;
ndoa;
}
else
{
Hakuna mahusiano;
Hakuna ndoa
}

Upo nyuma ya muda, time has left you far behind, hutaona ndoa usemayo au demu umpendaye kama una mawazo ya 20 century, wadada wa leo hata uwe chongo, pesa zipo watakutafuta na kukupa mapenzi hot hot, mapenzi yanakuja baada ya pesa, wake up ww....
 
Kila siku nasikia watu tena hata vijana wa dot.com baadhi wakisema pesa sio mapenzi, kama bado upo na mawazo haya au unajisemea tu kujofurahisha au uonekane na watu
Unajidanganyaaa au umepitwa na wakati.
Feel free kuongea ukweli, dunia ya leo, wote mnajua ukweli ni nani atapendwa bila pesa kimapenziii..?
Mm nasema wazi straight, pesa ndio kichocheo kikubwa cha mapenzi dunia ya leo, huu ndio ukweli, na mm naukubali, ila TAMAA YA PESA NDIO MBAYA, na maanisha mwanamke akinipenda sababu nina pesa ni sawa kabisa, ila akianza TAMAA, nataka hiki, kile, twende beach leo, kesho, kesho kutwa, ooohh tule hotelini tuache pika home, yaani huyo mwanamke awe mtu wa kutumia tuuuu hawazi maendeleo kwa pesa zangu au kushauriana kufungua kampuni, kujenga nyumba nk, hapo nitamwagaaa

ILA MAPENZI NI PESA NI UKWELI

kaka kiongozi haujakosea
 
Sawa sawa kama sahani na kawa. NO MONEY NO LOVE.
 
...na siku ya kuachana mtagawana jasho!
 
Back
Top Bottom