Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mi wangu ambavyo hanisumbui hadi kuna muda inabidi nianzishe varangati tu ili tugombane
Umeona sasa haya matatizo...Mwanamke ni mtu wa kupenda matatizo always 😝😝😝 yani kwako Amani na utulivu ni kero.
 
Thank you....
Kwa sababu sijawahi kuona maovu ya wanaume yakikemewa kama yanavyokemewa ya wanawake! Zaidi sana utapewa sababu zile zile kuwa oh wanawake ndiyo wanaumia zaidi ilihali wanaume hawana cha kupoteza mara oh sijui wanawake wakianza wanaume ndiyo watafuata!

Hii inafanya jamii ione kama wanaume kufanya maovu ni sawa tu kwa sababu hayakemewi na ati hawana cha kupoteza! Haya tangu muanze kutoa hizo sababu zisizo na kichwa wala miguu zimesaidia nini kwenye jamii je kuna matokeo yoyote chanya!

Hivi kwanini tusiache tu kuwa biased na tuwe tunakemea maovu ya jinsia zote bila kuangalia nani anaumia zaidi au sijui nani hana cha kupoteza! Kwa sababu unaposema eti mwanamke ajitunze halafu hapo hapo hukemei tabia ya wanaume kurubuni au kubaka wanawake huoni kama utakuwa unafanya kazi ya kumtawaza mbuzi!

Hiyo jamii mnayoitaka ya kwamba eti mwanamke ndiyo aanze kubadilika halafu mwanaume atafuata haipo na haitakaa itokee zaidi sana ndiyo mnazidi kuharibu tu! Na hata tukitrace back kwenye history utagundua wanaume ndiyo walioanza maovu kwenye mapenzi hata pale ambapo wanawake wengi walikuwa innocent (naomba usiniletee story za Adam na Evah hapa naongelea ancient na medieval times)!

Kwahiyo mtu atakushangaa utakapoanza kumuambia eti wanawake ndiyo waanze kubadilika halafu wanaume ndiyo watafuata kana kwamba wanawake ndiyo walianza hayo maovu! Lazima atakuuliza kama ninyi ndiyo mlianzisha na mkashindwa kubadilika hata pale wanawake walipokuwa innocent ndiyo mnataka mbadilike sasa hivi!

Ni wazi kwamba wanaume wengi wanataka jamii ambayo ni wanaume tu ndiyo watakaoruhusiwa kufanya maovu na ionekane ni sawa (kama ilivyokuwa zamani) ila wanawake wanatakiwa kuwa wakamilifu tu siku zote! Mnashindwa tu kusema directly mnakaa mnazunguka lakini mtu akisoma between the lines ya mnavyoviandika atagundua hiki ndicho mnachokitaka!

Na mbaya zaidi ni kwamba hiki kitu hakiwezekani na hakitakaa kiwezekane! Wanaume wa zamani walipokuwa wanafanya maovu hawakujali mambo ya kubadilika walijiona wako sawa tu na walitegemea wanawake wangeendelea kuvumilia maovu yao milele!

Sasa tuko kwenye modern times wanawake wameamua kujibu mapigo baada ya kuchoka kuvumilia ujinga ndiyo wanaume wanaanza kuongelea habari za kubadilika! Hii ni baada ya kuona na wao wanaanza kuumia sasa kutokana na wanawake kuamua kujibu mapigo ndiyo wanajifanya wamekuwa wahubiri wa mabadiliko!

Tena na bado kwenye hayo mahubiri wanaanza kuleta siasa sasa eti wanawake ndiyo waanze kubadilika halafu wanaume watafuata! Wakati ukweli ni kwamba wanataka turudi kwenye jamii za zamani zile ambazo mwanaume alikuwa anafanya makosa na mke anavumilia tu kwa sababu mwanaume kufanya makosa ilikuwa kawaida na mke kukosea ilikuwa ni jinai!

Kama kila jinsia imeshindwa kubadilika kwa nafasi yake mimi naona tuendelee tu hivi hivi huu mchezo wa kuviziana na kupimiana! Hata kama wanawake ndiyo wanaumia zaidi lakini trust me sidhani kama siku hizi wanaumia kama walivyokuwa wanaumia zamani!

Maana imagine zamani mwanamke alikuwa anaumia huku hafaidiki na chochote ilihali mwanaume alikuwa hana cha kupoteza kabisa! Siku hizi mwanamke anaumia lakini atleast wana pa kujipoozea ambapo ni kwenye pesa za wanaume na hiki kinawaumiza wanaume wengi ndiyo maana wanalalamika kingekuwa hakiwaumizi wasingekuwa wanalalamika!

Fact is mwanaume huwa hapendi kupoteza chochote mbele ya mwanamke yaani siku zote anapendaga atoke mshindi kwenye hii vita ya mapenzi (ofcourse siku hizi mapenzi yamekuwa vita)! Sasa inapotokea wanaona kuna vitu wameanza kupoteza hasa pesa lazima tu waanze kujifanya wahubiri wakati wasingekuwa wanapoteza hata hizo pesa wasingekuwa wanaongea chochote narudia tena wanaume hamjawahi kusimamia kidete suala lolote ambalo haliwanufaishi ninyi binafsi!
 
Kupenda ngono ni asili, iko toka katika mwanzo wa dunia na ndio msingi wa uumbaji. Kupenda pesa ndio jambo la mwisho au lilifouata katika vizazi hivi vya kisasa.
Kupenda ngono ni asili lakini umalaya ni dhambi! Kupenda ngono wala hakuhusiani na kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ni wazi tu kuwa wanaume wengi mnajiendekeza!
 
Ila kosa kubwa ni ku mistreat watu, hii dhana ya kulipiza visasi kwa watu wapya ndio mnazidi kubomoa badala ya kujenge.

Regardless all your worst experiences treat your next patner in the very best way.
Hili mnatakiwa mliseme kwa wanaume sasa! Maana wanaume ndiyo ambao akiumizwa na mwanamke mmoja tu basi wanawake wengine wote watakaofuata watamkoma!

Atleast wanawake wengi wao wanakuwaga na yale matumaini ya kwamba labda nitampata anayenipenda! Hizo kauli za wanaume wote ni mbwa huwa zinatokaga midomoni tu lakini hakuna mtu ambaye ni mgumu kukata tamaa kwenye mapenzi kama mwanamke!
 
Kama utakumbuka maneno ya baba wa taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, kuwa miongoni mwa maadui wa kuwapiga vita usiku na mchana na kuhakikisha wametokomea basi UMASIKINI ni nambari one.

Sababu umasikini ukitapakaa kwenye jamii utatengeneza njia kwa mambo mengi sana mbaya kuingia, mfano tamaa, njaa, maradhi, uhasama, chuki, usaliti, rushwa, na kadhalika.

Hili la watoto wa kike kupenda sana pesa lina uhusiano na insecurities zitokanazo na umasikini wa hali na akili huko walipotoka yaani makwao na familia zao.

Binti aliyelelewa kwa maadili ya utu hawezi kuwa na tamaa za mali au pesa ya mwanaume ambaye si mume wake. Mabinti wa sasa wanatoka familia zenye mentality za kimasikini sana yaani baba na mama wanataka kupata maisha kupitia mtoto wao, haijalishi anatoa wapi.

Kuna vitu vingi vinawaponza watoto wa kike, mfano, kutaka kuonekana mrembo kwa mavazi ya kisasa, kumiliki simu za bei, kuhang maeneo ya bata ya gharama ili kuweza kupiga picha za kupost kwenye social networks na social media. Pesa za kumudu haya yote unadhani wanatoa wapi na wanatoka familia za kipato cha chini kabisa.....

Lakini mbaya zaidi ni pressure ya familia wanazotoka hawa mabinti kuwaambia kuwa mwanaume ambaye hana pesa hana cha kukupa katika maisha, nyuma ya pazia, ni hii familia ya binti kutafuta mfadhili kupitia binti yao awatatulie matatizo yao ya ndani ya kifamilia.

Tukirejea miaka ya nyuma kidogo, si kwamba watu walikuwa na pesa sana, lahasha, bali utu ulishika nafasi yake na umasikini haukuwa na nafasi katika jamii.

Kukosa pesa sio umasikini bali ni hali ya kiuchumi ya kutokuwa na kipato. Ila umasikini ni tamaa ya kutaka kuwa na miliki isiyo stahiki yako ukilinganisha na jitihada zako wewe binafsi. Na ndio maana hata watu wezi, mafisadi, wadangaji, mbele ya safari huishia kufilisika sababu ndani ya nafsi zao ni masikini.

Uamasikini unaambukiza (contagious), umasikini ni hali ya akili kuamini mafanikio ni muujiza na sio uhalisia wa matokeo ya jitihada.

Umasikini unapigwa vita kwa kutafuta namna tofauti tofauti za kujitafutia kipato bila kudharau ni kiasi gani unaingiza bali muhimu ni malengo ya leo, kesho na kesho kutwa kipato kinakupeleka wapi kukutoa hapo ulipo.

Tunaposema umasikini ni adui wa taifa haya ndo matokeo ya kudharau hiyo kauli. Unakutana na binti anatumia mwili kama qualifications ya kufanya maisha na wewe ila ukikaa nae ndani hana mchango katika swala la kupigana na umasikini cha zaidi atavuta familia yake waje karibu yenu wamsaidie kukuambukiza umasikini.

Ukiona mwanamke hana elements za productivity kwa namna yoyote basi jua unaandaa kizazi au familia ya watu masikini. Mwanamke mwenye maradhi ya umasikini hatokei familia ya watu wa kipato cha chini, anatokea familia ya watu wasio na utu na wenye uchu na tamaa, hao ni masikini pure, aidha wawe na pesa au mafukara umasikini utaugundua kwao kupitia tabia zao za tamaa na uchu na husuda za kukurudisha nyuma wewe ili wao kupata.

Nilishawahi ona familia ya mzee ambae hana uwezo sana, ni mkulima tu wa kipato cha chini, binti yake ameolewa na kijana ana uwezo wa kipato cha kati. Ila yule mzee kila mwezi alikuwa anafunga kiroba cha mahindi, unga, na gallon kubwa ya mafuta ya alizeti kumtumia binti yake na mumewe kutoka kwenye ghala yake. Na akifanya mauzo ya mazao yake ya kilimo anatoa sehemu ya pesa anamtumia kijana na binti yake.

Imagine huyu mzee utamwita ni masikini?! Au huyu binti anatoka familia ya kimasikini?! Umasikini ni akili au fikra ya kuendekeza tabia ya kuelemea wengine ile hali unaweza kupambana kujitafutia na ukasaidia wengine.

Sasa leo, kupitia elimu, tumezalisha kundi kubwa la vijana makabwela na mafukara wa hiyari wasio na mawazo ya maendeleo hata kidogo. Hebu wazia ni kwa namna hii tutafikia malengo ya taifa kweli ya kuwa uchumi wa kisasa na kuwa na idadi ndogo sana ya watu wa kipato cha chini.....?!

So ndugu, kumalizia tu niseme, ukiona binti analeta mazoea ya kuomba pesa usipepese macho wala kuona aibu, mwambie ukweli, mwambie aache tamaa na kuendekeza akili za kimasikini, kama anataka kupata mahitaji kwako kwanza ajue wajibu wake kwako katika vita na umasikini miili ya ngono hii isikuponze ukatumia pesa yako uliyoipata kwa shida sana kirahisi rahisi kisa unafuata maneno ya mjini kuwa sijui mwanaume wa kweli sio bahiri kwa mwanamke.

Mtawalaumu hawa mabinti wanaodanga ila ukweli ni kuwa sisi wanaume baadhi yetu ndio tunachangia huu utomvu wa maadili na nidhamu kukua. Imagine kama wanaume wote tukaweka azimio la kutotoa pesa za matumizi katika maswala ya ngono nje ya kusaidia, utaona kama hawa wadangaji watakuwapo.

Kwanza familia zitaimarika, ndoa zitaheshimika, na wanawake watajua umuhimu wa ndoa. Hivi viburi vyao vinakuja sababu wahongaji na mabwege wa kutoa hela mpo wengi, na mimi nasema nikikuta mwanaume ambaye hajaoa mwanamke ila alikuwa ana muhudumia kama mke kisha huyo mwanamke akapata mtu mwingine akapita hivi, mimi nitatetea huyo mwanamke, sababu yupo sahihi hawezi olewa na mwanaume mpuuzi anayetoa pesa nje ya familia au nje ya ndoa.

Huwa tunawaona wanawake ni wakatili kwa kuwakimbia watu waliowahudumia ile hali hawakuwa wanaume wao wa ndoa. Ila ngoja nikwambie wanawake wenye akili huwa wakiona mwanaume ni bahiri wanajua huyu sasa ni mwanaume wa ndoa maana pesa zake hazitachezewa na wadangaji.

Sasa nyie mnaojiita laki si pesa endeleeni kupoteza pesa kwa mshahara wa ngono na maradhi, wenzenu wanajenga siku hizi, akipata maboya yake kama sita akijisikia usiku anayapigia kuwa anafukuzwa kodi yanatoa laki tatu kila boya moja anajipatia 1.8 ya fasta. Wewe unajikuta mwanaume kumbe fala tu, ndio maana siku hizi watoto wa kike maisha kwao ni utelezi tu akiwa na mwili wa kudatisha.... Sasa wewe endelea kusema laki si pesa honga, watoto wako kwenye mipumbu yako unawadhurumu urithi wao sababu ya kutaka kuonekana mwamba fala m'moja wewe......

Hayo ni maneno tu ila ukweli ni kuwa mwanamke ambaye sio mkeo kumpatia fedha ni hisani tu, ila sio jambo la lazima au msingi kutoa pesa kwake hata kama ni buku ya vocha. Wacha wakuite bahiri sijui mkono mfupi, but usiwe under pressure kutoa pesa ambayo haupo tayari kutoa kwasababu unataka kuonekana mwanaume, but kama ni mkeo mnaishi nyumba moja then atajua matumizi na kipato chako so hawezi omba hovyo........
Ukweli mtupu huu.
 
Siku hizi mapenzi hakuna! Yani ni mwendo wa kuviziana tu!

Huyu anataka sex huyu anataka money! Huyu anampotezea mwenzie muda huyu anampotezea mwenzie pesa!
Ndo kilichobaki ktk dunia hii.
 
Hili mnatakiwa mliseme kwa wanaume sasa! Maana wanaume ndiyo ambao akiumizwa na mwanamke mmoja tu basi wanawake wengine wote watakaofuata watamkoma!

Atleast wanawake wengi wao wanakuwaga na yale matumaini ya kwamba labda nitampata anayenipenda! Hizo kauli za wanaume wote ni mbwa huwa zinatokaga midomoni tu lakini hakuna mtu ambaye ni mgumu kukata tamaa kwenye mapenzi kama mwanamke!
Hio sentensi ya mwisho ulitakiwa uikamilishe. "Hakuna mtu ambaye ni mgumu kukata tamaa kama mwanamke kwenye mapenzi kama mwanamke....mwenye bwana mwenye hela!"

Wakataji tamaa wa haraka tunao wengi sikuhizi mtaani tunawaona tu wanavyobadilisha mabwana kama ngedere anavyodandia miti porini. Chanzo ni ukosefu wa Supporting document (fweza)
 
Suala hapa siyo fikira wala msitafute wa kuwatupia lawama! Siku hizi kila jinsia inajifanya imevurugwa na mapenzi kila mtu anaingia kwenye mahusiano akiwa na maslahi yake!

Huyu anataka ngono huyu anataka fedha hakuna mwenye muda na mwenzie! Wanaume msitake kujifanya mko innocent sana kwenye mahusiano na kwamba ati wanawake tu ndiyo wako guilty kila siku!

Wanaume na wanawake wenye mapenzi ya dhati bado wapo! Lakini wengi sasa hivi hawana mapenzi siyo wanaume siyo wanawake!

Hivi wanaume kwanini huwa hampendi kukubali makosa yenu? Kwanini kila kitu lazima msingizie wanawake ndiyo chanzo kwamba ninyi hamnaga makosa kabisa au?
Kupitia comment hii, kuna kitu nilitaka kuchangia na mifano dhahiri, ila sio sehemu yake na sio busara.
Ila huu ukweli umeweka wazi kabisa, na ndio lililopo hapa Duniani saiv.
 
Hili mnatakiwa mliseme kwa wanaume sasa! Maana wanaume ndiyo ambao akiumizwa na mwanamke mmoja tu basi wanawake wengine wote watakaofuata watamkoma!

Atleast wanawake wengi wao wanakuwaga na yale matumaini ya kwamba labda nitampata anayenipenda! Hizo kauli za wanaume wote ni mbwa huwa zinatokaga midomoni tu lakini hakuna mtu ambaye ni mgumu kukata tamaa kwenye mapenzi kama mwanamke!
pia uchaguzi mwingi, we unataka kuniambia wanaume waliowahi kuku approach hakuna ambaye alionesha nia ya kuwa na wewe ukamkatalia na kumpa nafasi bishoo?
This is very common on many women. Akishatendwa au kuzalishwa ndio anakumbuka shuka!
 
Tatizo lenu kubwa ndiyo hilo! Kila kitu huwa mnawaza ushindani tu!

Na ndiyo maana nikasema siku hizi ni mwendo wa kuviziana tu na kupimiana nani aanze! Badala ya kila jinsia kujitathmini na kubadilika kwa nafasi yake!

Hapa hatusemi eti nani ajishushe wala nani awe juu! Wanawake waangalie wanakosea wapi na wakati huo huo wanaume waangalie wanakosea wapi na siyo kupimiana kama hivi!

Halafu mnaposema wanawake ndiyo tunaumia zaidi huwa nashangaa sana! Inakuwaje ninyi ambao mna side effects ndogo ndiyo mnalalamika sana kuliko hao wenye side effects kubwa!

Utasingizia eti mnatupenda ndiyo maana mnatuambia lakini hapa nitakupinga kwa sababu wanaume hamjawahi kusimamia kidete suala lolote ambalo halina maslahi kwenu binafsi! Yaani bado hamjafikia kuwa na upendo huo wala msitufanye watoto!

Hebu ninyi ambao hamna side effects zozote acheni kulalamika halafu tuone hii hali itaendaje! Hebu kaeni kimya kama wanawake walivyokaa kimya halafu tuone itakuwaje maana ninyi siku zote si hamnaga cha kupoteza bwana!
Yaaani unapiga penyewe, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilichopenda zaidi ni fairness yako katika kujenga hoja douta.
.. naendelea kusoma maoni yako[emoji39][emoji23]
Pops mimi huwa napenda sana fairness kwenye kila kitu na hapo ndipo watu wengi wanaposhindwa kunielewa! Mtu akitaka tugombane aniambie eti fairness kwenye hii dunia (especially kwenye mapenzi) haiwezekani kwamba eti lazima mmoja aumie!

Huwa sitakagi kuelewa kabisa hiko kitu yaani inakuwaje watu wanapendana halafu mtu anaruhusu mwenzie aumie! Na naona jamii inalazimisha kabisa hiki kitu ndiyo kiwe hali halisi kwa kisingizio cha kuwa ni nature wakati hili ni janga kama majanga mengine tu!
 
Nani kakwambia hatuna benefits kwa mwanamke mwenye mwenendo mzuri...... Benefits tunazo sana.... Sababu kwanza katika kundi la wanawake kuna mabinti zetu, dada zetu wadogo zetu wa kike, lakini muhimu zaidi wanawake tutakaokuja wao ili watulelee watoto wetu.

Upuuzi ukifanya wewe kama mwanamke mimi utakuja gharimu familia yangu. Mfano sasa hivi mnatoa sana ujauzito unaotakana tabia zenu za kulala na wanaume sita nyakati tofauti ndani ya masaa 24 kisha mnameza P2 ili kuzuia ujauzito usio na matarajio nao, hii kwangu ni hatari sababu nikiwa sijui history yako siku nimekuoa nakuweka ndani nitakuja pata fedheha nikija taka kupata nawe mtoto lakini pia nikitaka kuishi nawe kuna fedheha ya mimi kujua kuna wanaume waliopita na wewe na wapo wanatuona, kuna raha gani kushikana mikono na mwanamke ambaye katika kila sehemu nitakwenda nae kutakuwa na watu watakaokuwa walishamvmvua chupi na kuingiza mijusi yao katika mji wake wa uzazi na kuacha shahawa zao ndani yake.

Hebu wazia siku nakuja na rafiki yangu kwangu nakutambulisha kwake anastuka ni mwanamke ambae alishawahi kumtafuna kirahisi siku za nyuma au pengine si yeye tu ila ni ikatokea pia na washkaji wengine walikutafuna nyakati na maeneo tofauti sasa now wewe ndio uwe mke wangu, heshima inatoka wapi.

Hii aibu mimi nitaweka wapi sura yangu sababu ya tabia za udangaji za mwanamke naharibiwa heshima yangu.

Wazia pia kama wewe ni muadilifu ila rafiki yako ndio hajatulia, siku unamleta nyumbani kwetu kumbe ni binti ambaye nimeshamla sana huko nje na katoa mimba zangu kadhaa unakuja mtambulisha kwangu kama shemeji hivi unaona madhara yake sasa na kwann wanaume tunakemea sana wanawake tabia zenu.


Haya wewe unaongea tu hapa, umesoma juzi gazeti la mwananchi makala maalumu kuhusu report za madaktari pale muhimbili juu ya watoto wa kike wengi kupatwa na matatizo ya vizazi, kushindwa kushika ujauzito na hata vizazi kuoza.....je umewahi kujiuliza hayo madhara yanawahusu wanaume katika eneo gani?! Wewe ukidhurika wale uliokuwa ukiwadangia watasogea unadhani, huo si ni msala wako na familia yako, nani atakujali hapo nje ya familia yako, huyo unae mdangia si anakwenda tafuta binti mwingine mbichi anaanza nae upya?!

Je, ulisoma kuhusu report ya afya ya uzazi wanawake kuonyesha kuingiliwa nyuma kinyume na maumbile kiasi kwamba inaonekana ni janga jipya kwasasa?!

Sasa tukikemea wewe unasema sisi ndio tunaathirika, hivi unaongea hivi sababu unataka kushindana kubishana au umefanya tafiti?!

Hivi unajua kuna tatizo kubwa la ongezeko la maambukizi vimelea vya mgonjwa ya zinaa, (STI's) especially kwa wanawake miaka hii, kama UTI, PID infection , Herpes, Fungus, yeast, na mengine mengi, na chanzo kikibainika wazi ni kuwa na mahusiano na watu wengi kwa wakati m'moja?!

Hapo sijagusia maswala ya kutanuka kwa uke, hivi sasa kumeanza tatizo la baadhi wanawake kupatwa na hali ya njia ya uke kutoa mlio kama kujamba (queefing) jambo ambalo linaweza mwaibisha mhusika ikitokea mazingira ya watu wengi hii imehusishwa na maswala ya uzazi lakini ni pamoja na kujihusisha na mahusiano na wanaume wengi wenye maumbile tofauti. Ukitaka kulijua hili vema nenda youtube katazame video za confession za porn actresses waliostaafu kuigiza porn utaona wanaelezea changamoto wanazokutana nazo kutokana na kuingiliwa na wanaume kwa idadi kubwa.

Pia kuna swala la wanawake kuzaa na wanaume kisha kubakia kulea wenyewe wanaume wanaowachagua ambao ni vilaza huwaacha solemba na kuwaacha na mzigo wa malezi ya watoto pekee yao jambo linalowaathiri kisaikolojia na kiuchumi pia lakini mbaya zaidi watoto hawa hukosa malezi bora na kuingia ulimwengu wa maasi mapema katika umri mdogo.


Nadhani unachofeli ni kulinganisha uhalisia na hoja zako. Usiishie kusoma hoja za mtandaoni wanazoandika akina joyce kiria na wanawake wengine ambao ni wapotoshaji, bali wewe kwa utashi wako jaribu kufuatilia kinachotokea mitaani utaona ukweli.

Watoto wa kiume wanajitahidi sana kuwalinda lakini tamaa zenu watoto wa kike zinawatoa katika reli ya maisha mnapotoka mnaingia ulimwengu wa dunia hii ya mateso na fedheha. Siku zinavyokwenda mtakuja kuyaelewa haya ila sasa wacha tufanye kubishana tu ila mtaelewa tu.

Sasa wewe hebu nambie madhara gani anapatwa nayo mtoto wa kiume tukitoa magonjwanya zinaa na kupoteza pesa. Mwanaume akilala na mabinti hata 100 anabakia kuwa mwanaume na hakuna maksi zinashuka, ila wewe lala na wanaume hata 20 tu tofauti carelessly utanambia outcome yake.
Paragraph ya mwisho, huo mtazamo umepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom